Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ralf Rangnick’s coaching philosophy is all about speed & intensity. He wants to regain the ball quickly after losing it with his gegenpressing & sideways passing is not an option for him. He demands line-breaking passes to get the ball into the final third as quickly as possible.
 
Genius
IMG_20211125_205953_987.jpg
 
Hiyo ndiyo concern yangu kuwa pengine anafanya vizuri sababu pale Ajax ana dominate yeye tu

Lakini Ten Hag pia kafanya vizuri Ulaya, kwenye Europa na Champions League

Pia soka inalocheza timu yake linaeleweka ni soka la aina gani, inaonesha kocha anajua anachofanya

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Hiyo ndiyo positive kubwa aliyonayo. Anacheza mpira unaoeleweka wa ushindani.
 
Ralf Rangnick’s coaching philosophy is all about speed & intensity. He wants to regain the ball quickly after losing it with his gegenpressing & sideways passing is not an option for him. He demands line-breaking passes to get the ball into the final third as quickly as possible.
is this the Manchester way? well, in OLE's voice?
 
Wakati tunahangaishana na leicester city juu ya bei ya harry maguire hivi marquinhos alikuwa bado hajazaliwa?
Marquinos mwaka 2019 alikuwa kwenye radar za United sijui nini kilikwamisha usajili wake.

Ni mchezaji mzuri anayeweza kucheza karibu nafasi zote za ulinzi hasa center back na defensive midfield.

Kikubwa zaidi ni beki anayefunga, kushinda mechi nyingi unahitaji distribution ya magoli kutoka kwa wachezaji wako wengi uwanjani.

Msimu wetu uliopita karibu magoli yetu 50+ yalitoka Bruno, Rashford na Greenwood,

Msimu huu karibu nusu ya magoli yote tuliyofunga yamefungwa na CR7 anapobanwa hatuna namna tena toka Bruno aache kufunga.
 
Ronaldo ajiandae kuondoka mwisho wa msimu huu. Aliyekwenda kumuokoa kaishaondoka.
 
Sioni kama tunasababu zozote za kumuondoa CR7 kwenye kikosi cha United.

Naona watu wa kuondoka ni Cavani na Juan Mata pamoja na Matic hii itatupa nafasi ya kufanya usajili wa maana kuziba mapengo hayo.

Kwa mfano tukimuondoa Juan Mata ni bora kumsajili Jared Bowen wa Westham au Gallagher wa Crystal Palace, au Dominick Szoboszlai wa RB Liepzig.

Tukimuondoa Cavani ni bora tukamsajili Patrick Schik au Halland wa Borussia Dortmund.

Matic lazima aondoke kumpisha mchezaji mwingine ambaye ni solid defensive midfielder.

Kitu kizuri cha Ronaldo over Cavani Ronaldo hana record ya injuries compared to Cavani
 
Hakuna shabiki wa united anaweza kubali huu upupu
OLE akiandika kitabu usije kushangaa akidai alilazimishwa kumsajiri Ronaldo. kwa upande wake all was well until Ronaldo came along. OLE hakuwa prepared kukabiliana na changamoto ya kuwa na mchezaji kama Ronaldo.

Nakumbuka kuna siku alimuanzisha Ronaldo benchi akafokewa na Sir Alex, masikini akaishia tu kupiga kelele hapangiwi na mtu.
 
Sioni kama tunasababu zozote za kumuondoa CR7 kwenye kikosi cha United.

Naona watu wa kuondoka ni Cavani na Juan Mata pamoja na Matic hii itatupa nafasi ya kufanya usajili wa maana kuziba mapengo hayo.

Kwa mfano tukimuondoa Juan Mata ni bora kumsajili Jared Bowen wa Westham au Gallagher wa Crystal Palace, au Dominick Szoboszlai wa RB Liepzig.

Tukimuondoa Cavani ni bora tukamsajili Patrick Schik au Halland wa Borussia Dortmund.

Matic lazima aondoke kumpisha mchezaji mwingine ambaye ni solid defensive midfielder.

Kitu kizuri cha Ronaldo over Cavani Ronaldo hana record ya injuries compared to Cavani
Mkuuu huyo Gallagher ni Mali hali ya TT hiko kitendo cha ujunjifu wa nyumba za watu utafungwa
 
Back
Top Bottom