I co-sign this. Phil Jones pia.

Hawa vilaza kama kuna timu watajipendekeza waende pia

Fred, Scott, Harry Maguire, Aaron Wan Bissaka, Marcus Rashford. Naamini ndani ya miaka miwili ya Ralf atakuwa kapunguza angalau watatu kati ya hawa.

Hapo kwa Marcus watu wengi watashangaa kidogo ila ukweli huyu mchezaji sioni aki-grow zaidi ya hapo. Nusu ya mshahara wake unaweza kutupa mchezaji mwenye uwezo mara 2 yake m.f Pedro Goncalves Pote.

Tunahitaji wachezaji walio na hadhi ya kuwa United, na sio tukicheza na vitimu kama Leicester au Everton huoni utofauti.
Wewe mkuu upo serious yani umtoe Rashford umsajili Pedro Goncalves? au haufahamu alicheza Wolves akaflop??

Rashford ni mchezaji mzuri sana huwa anatendea haki sana wing ya kushoto ukitaka uamini angalia game aliyorudi alafu pia angalia martial na sancho wakiwa upande huo
 
amna kocha apo anajipamba kwa kupita migongo ya makocha waliofanikiwa yeye aje aoneshwe uku sio russia au hoffeinham uku ad watford wanajilia tunda kimaskhara Leicester anajipakulia westham anajiandalia alafu young boys anafanya kama anasusa

Sent using motorola 78
 
I co-sign this. Phil Jones pia.

Hawa vilaza kama kuna timu watajipendekeza waende pia

Fred, Scott, Harry Maguire, Aaron Wan Bissaka, Marcus Rashford. Naamini ndani ya miaka miwili ya Ralf atakuwa kapunguza angalau watatu kati ya hawa.

Hapo kwa Marcus watu wengi watashangaa kidogo ila ukweli huyu mchezaji sioni aki-grow zaidi ya hapo. Nusu ya mshahara wake unaweza kutupa mchezaji mwenye uwezo mara 2 yake m.f Pedro Goncalves Pote.

Tunahitaji wachezaji walio na hadhi ya kuwa United, na sio tukicheza na vitimu kama Leicester au Everton huoni utofauti.
wabongo bwana ... Kwamba mnataka Nini,,,
 
mnavyomremba uyo kocha sasautasema katokea barcelona kumbe takataka alietupwa uko Russia sema aya maneno ata kipindi ronado na sanchoka walvokuja mliwanenea saiv wako wap
nb; nyumbu ni nyumbu2

Sent using motorola 78
Siyo ajabu na kupambwa kwake kootee msimu huu,Na yeye akatoka Kapa
 
I co-sign this. Phil Jones pia.

Hawa vilaza kama kuna timu watajipendekeza waende pia

Fred, Scott, Harry Maguire, Aaron Wan Bissaka, Marcus Rashford. Naamini ndani ya miaka miwili ya Ralf atakuwa kapunguza angalau watatu kati ya hawa.

Hapo kwa Marcus watu wengi watashangaa kidogo ila ukweli huyu mchezaji sioni aki-grow zaidi ya hapo. Nusu ya mshahara wake unaweza kutupa mchezaji mwenye uwezo mara 2 yake m.f Pedro Goncalves Pote.

Tunahitaji wachezaji walio na hadhi ya kuwa United, na sio tukicheza na vitimu kama Leicester au Everton huoni utofauti.
Hii Man Utd ya ss pia bila kuongeza mchezaji yeyote yule hakuna timu itamiliki zaidi yetu labda City, kuhusu hao wachezaji vilaza uliowataja wote waondoke hata bure sio lazima kuwauza kama hawauziki.
 
I co-sign this. Phil Jones pia.

Hawa vilaza kama kuna timu watajipendekeza waende pia

Fred, Scott, Harry Maguire, Aaron Wan Bissaka, Marcus Rashford. Naamini ndani ya miaka miwili ya Ralf atakuwa kapunguza angalau watatu kati ya hawa.

Hapo kwa Marcus watu wengi watashangaa kidogo ila ukweli huyu mchezaji sioni aki-grow zaidi ya hapo. Nusu ya mshahara wake unaweza kutupa mchezaji mwenye uwezo mara 2 yake m.f Pedro Goncalves Pote.

Tunahitaji wachezaji walio na hadhi ya kuwa United, na sio tukicheza na vitimu kama Leicester au Everton huoni utofauti.
Utakuwa unaota kufikiria kama Rashford ataondoka Man U.
 
Screenshot_20211126-155559_Facebook.jpg
 
amna kocha apo anajipamba kwa kupita migongo ya makocha waliofanikiwa yeye aje aoneshwe uku sio russia au hoffeinham uku ad watford wanajilia tunda kimaskhara Leicester anajipakulia westham anajiandalia alafu young boys anafanya kama anasusa

Sent using motorola 78
anajipamba wapi wakati kocha wako mwenyewe ndio amempamba jamaa.....
 
Nyuma ya sababu kwanini jamaa kila kazi anayopewa anademand kuwa na maamuzi makubwa kwenye mambo ya uwanjani, ni kwasababu, jamaa anamaamuzi magumu na haitaji mzaha katika kazi yake

Mwaka 2020 alisema luke shaw sio mzuri kwa level ya man u

Pia akaja sema kuwa hawezi kumswap, Keita kwa pogba kuonesha anademand workrate kubwa na nidhamu....

Sasa jamaa yetu wa kusema he fuckn with the wrong baller safari hii kazi anayo
 
Back
Top Bottom