Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

***** kwamba unataka kusemaje?

Farmers league reject ametupa Champions League.

Wewe huyo Magwaya kichwa kikubwa amekupa nini?

Kweli we nyumbu.
Usikute unamsema Maguire kichwa kikubwa, wewe una pua kama ya Baba Levo, jenga hoja, acha ku attack personality ya mtu

Kuchukua Champions League sio kigezo, hata Werner amechukua Champions League na Lukaku hajachukua, lakini shabiki timamu yoyote wa Chelsea atamchagua Lukaku kwenye timu yake na si Werner

Huyu Silva si ndio PSG wamemkataa, na wakamchukua Ramos?

Silva is just a Farmers League reject

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Mjadala hapa ni magwire na silver...

Au tuambie wewe. Silver unamlinganisha na beki gani pale nyumbu?
 
Usikute unamsema Maguire kichwa kikubwa, wewe una pua kama ya Baba Levo, jenga hoja, acha ku attack personality ya mtu

Kuchukua Champions League sio kigezo, hata Werner amechukua Champions League na Lukaku hajachukua, lakini shabiki timamu yoyote wa Chelsea atamchagua Lukaku kwenye timu yake na si Werner

Huyu Silva si ndio PSG wamemkataa, na wakamchukua Ramos?

Silva is just a Farmers League reject

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Ndio utajua haujui subiri na ramos wako si mchukue ww
 
Ila sio gurantee kufanya vizuri sehemu moja utafanya vizuri kwingine.

Kocha anaweza akawa mbaya psg akaja chelesea akafanya vizuri. Au akawa mzuri Ajax ila akija United akafanya vibaya.

Huwa sipendi sana kuhukumu kabla sijampa muda kocha. Poch anaweza kuja akafanya mazuri au mabaya.
 
Ngoja jumapili tuwasokomezee ukuni ili mpate akili. Kushinda ka mechi kamoja mushaanza kuvimba🤣🤣🤣
 
Who is Ralf Rangnick? Everything you need to know about Manchester United interim manager

Man Utd have found their interim manager after Ole Gunnar Solskjaer was sacked and here is everything you need to know.

Manchester United have reached an agreement to appoint Ralf Rangnick as their interim manager, but just who is the new man in temporary charge at Old Trafford?

The 63-year-old German will take up the managerial role on a six-month deal until the end of May, before moving into in a consultancy role at the club for an initial two-year period.

Rangnick was identified as United's preferred choice for the interim vacancy after an interview process earlier this week which saw a five-man shortlist of managers considered for the role.

Here is everything you need to know about the current head of sports and development at Lokomotiv Moscow ahead of his Old Trafford appointment.

Name: Ralf Rangnick

Date of Birth: 29 June 1958

Previous role: Head of sports and development at Lokomotiv Moscow.
Playing career

Rangnick had a rather uneventful playing career before he moved into a player-coaching role at VfB Stuttgart. He spent a year at English side Southwick while he studied at the University of Sussex before returning to his homeland.

Upon his return to Germany he continued to play for the best part of a decade at a range of lower league clubs as he continued to learn about coaching.

Coaching career

Rangnick got his break coaching at his hometown club Viktoria Backnang and finished his playing career as a player-coach for Stuttgart II and TSV Lippoldsweiler.

He continued coaching in the lower divisions of German football for a number of years before he was given the chance to manage former side Stuttgart in the Bundesliga but was sacked after a difficult second season at the club.

He moved onto Hannover and earned promotion to the German top-flight. He applied to be the assistant manager of the German national side but missed out on the role to Joachim Low.

Rangnick enjoyed future success at Hoffenheim and across two spell at Schalke. In his second spell the side won the German Cup, German Super Cup and reached the semi-finals of the Champions League...

Screenshot 2021-11-26 at 07-56-04 Instagram.png
 
OLE akiandika kitabu usije kushangaa akidai alilazimishwa kumsajiri Ronaldo. kwa upande wake all was well until Ronaldo came along. OLE hakuwa prepared kukabiliana na changamoto ya kuwa na mchezaji kama Ronaldo.

Nakumbuka kuna siku alimuanzisha Ronaldo benchi akafokewa na Sir Alex, masikini akaishia tu kupiga kelele hapangiwi na mtu.
Hizi story zenu za kahawa bwana, Eti unakumbuka kuna siku OLE alifokewa na Fargie kisa kumuanzisha Ronaldo benchi? Ulisikia wapi, wewe ni nani pale UTD hadi uyashuhudie yoote hayo? 😅😅

Acheni kujifanya mnaijua sana hii team, mnajikuta mnaajua sana ukocha na roporopo nyingi tu kuhusu mpira kumbe ni viande tu.

Yani unataka kuwaamisha watu kwamba OLE ni kocha mzuri,isipokuwa Ronaldo ndo kasababisha ashindwe? Huko UEFA li team lilikuwa linazidiwa kila kitu, linaokolewa na juhudi binafsi za Ronaldo.

Unasema OLE ni kocha mzuri kaangushwa na Ronaldo? Atleast angekuwa anapoteza huku akicheza mpira unaoeleweka ningekubali, lakini sasa li-team lote lilikuwa hovyo unawezaje kum-point out Ronaldo pekee???
 
Hata nyie wapinzani mnashangaa, ofcz jamaa huwa hamkubali cr7 japo yeye ni Utd, hivi kwa jitihada anazofanya Ronaldo pale Utd ni shabiki gani wa Utd anaweza kuthubutu kusema hivyo? Ni yeye pekee
Huyu utakuta ni shabiki lia lia wa messi
 
Back
Top Bottom