Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mbona ni solskjaer pekeake? Mc kenna, Phellan, carrick wanabakia kufanya nini
20211121_133956.jpg
 
Yaani nachokiona kwa United board ni kama vile wanataka kuendeleza Identity ya Sir. Fergie na ndio maana wanazunguka kwa walewale Fletcher, Carrick, Solskjaer, Rodgers, Moyes..
Enrique / Erik ten hag ni mtu na nusu ila sasa atabadili culture nzima ya Club kwenye suala la soka uwanjani.
Erik anatakiwa aje na management, technical bench na DoF wake.

Kwa hii management iliopo, tutamchukia baada ya msimu.
 
Hizi club shida zina Culture na Identity yao, kama makombe yanakuja utaulizwa yamekuja vipi?
Mpira kwao ni kama dini
Ndio maana ni ngumu sana Club kama United, Liverpool & Arsenal kuuzwa kwa Waarabu japo mambo yana evolve.
Ni suala la muda tu.

Vizazi vinabadilika.

Identity is fraud.
 
Kikosi cha Man U Hata Brendan hatakiweza, kimejaa wachezaji wanaotaka kucheza wanavyotaka wao. Zizou kwa sasa ndio anaweza kuwamudu hao wajinga.

Au la kama wanafikiria kumpa Fletcher ukocha, basi ni bora wamfanye Ronaldo kuwa cocha mchezaji.
Kuwapa wachezaji mishahara mikubwa na mikataba mirefu ndo inawapa kiburi.

Ilitakiwa iwekwe maximum salary, kama ukitaka kucheza United lazima ubaki kwenye hiyo frame.

Utapata wachezaji wafia timu wa bei ya kawaida sana ambapo watakuwa proud kucheza United.

Ila haya mambo ya kuwanunua kina Maguire kwa 80M au Sancho kwa 72M lazima upate wachezaji wavivu na wanaojiona wakubwa kuliko club.

No contract extension na wakiongeza mkataba shusha mshahara, akikataa aende huko atalipwa hiyo hela.

Na ninachojua ukiacha PSG sidhani kama kuna timu nyingine ya kulipa mishahara mikubwa kama Utd.
 
Erik anatakiwa aje na management, technical bench na DoF wake.

Kwa hii management iliopo, tutamchukia baada ya msimu.
Dof + Coach wawe na same vision na wapresent vision ya Club kwa bodi, hii inaleta urahisi kueleweka maana bodi ya United ina uvumilivu mkubwa sana. Hawakupenda kumfukuza a club legend ila ndio basi tena
 
Kama wanamtaka Zizou italazimika na Sir Alex aondoke Board. ZIZOU hayuko tayari kwa namna yoyote ile kuingiliwa kwenye maswala ya uwanjani, na Sir Alex, as long as he has a say in the affairs of the club, his habit of poking his fingures into the coaches business is unstoppable.
Nilishawahi sema, haya mambo ya ku consult legends yanairudisha United nyuma.

Sidhani kama kuna timu nyingine duniani yenye ujinga wa kuwasikiliza legends kama United.
 
Sawa brother nimekubali shikamooo kaka OLE JE TUNAWEZA KWENDA MBELE AU TUNARUDI NYUMA HATUA 5
Huyo zidane naona kama tunambembeleza sana kulingana na sources akiwemo Fabrizio romano siku za nyuma...

Inaoneka mke anataka kubaki ufaransa, mara yeye anaaim kuwa coach wa france national team, mara bado anataka kuendelea na likizo yake

Kama hali hizi ni kweli tuachane nae mbona sio kocha mkali kihivo....

Kama Zidane itashindikana basi tutaenda na interim mpya

Laurent blanc
Rangnick

Wapo considered
 
Back
Top Bottom