Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Solskjaer ndio legend Pekee wa United mwenye idea ya kufundisha mpira, thats why mizizi yake ilikuwa imejichimbia sana

Michael Carrick akifanya vizuri anapewa timu ngojeni muone, ila kwa bahati mbaya next games ana Villareal , Chelsea & Arsenal. Ni kama alichokutana nacho Freddie Ljunberg pale Arsenal.
 
Breaking News:
Man Utd board has decided not to sack Ole after Joel Glazer to meet with Ole.

Source: Chill Source
 
Sasa Kama atabadili au asibadili shida Yao nn haswa si ni kupata makombe Sasa Kama makombe yanakuja kubadili culture Kuna shida gani...???

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hizi club shida zina Culture na Identity yao, kama makombe yanakuja utaulizwa yamekuja vipi?
Mpira kwao ni kama dini
Ndio maana ni ngumu sana Club kama United, Liverpool & Arsenal kuuzwa kwa Waarabu japo mambo yana evolve.
 
Culture ni nini mbele ya vipigo bruv?

Arsenal ngumu kuuzwa kwakua inazalisha faida kubwa kulinganisha na uwekezaje wake kroenke.

Ila Ole kuishusha timu daraja na kipindi chake United nafikiri ni doa. United itabaki kua timu pekee kubwa aliyowahi kufundisha.

Inasemekana United wanataka Rooney ndiye aje kua kocha.
 
Huyuhuyu Rooney ambaye hâta derby count imemishinda, inabondwa tu na Sasa iko mkiani kwa goal deference ya -25?
 
Hivi man wapo serious na makombe kweli!? Haya bwana!

Mwanzo nilikuwa nawatania kwa kuwa nilijua watafanya maamuzi ya kutafuta mwl mzuri baada ya huyu. Lkn kwa mabandiko haya, mmmh poleni aisee!
 
Yani amna kitu kinauma kama vile tunaenda kucheza na Chelsea tukijua tutafungwa tu sasa ata umuhimu wa kucheki mechi ukwapi sasa.
 
Man U haiitaji kocha wa ku prove himself ktk team, huyu tutakuja kulalamika tena humu baadae.. mara 100 Zizzou tucheze tu hiyo gamble ukiangalia na uwepo wa Varane, Ronaldo ambao kimsingi kafanya nao kazi muda mrefu pia nadhani itambakisha Pogba Man U maana kwa mambo yanavoenda anasepa kabisa namuona
Yote 9 ila pogba ni mzigo sana....bora aondoke tu
 
Yaani nachokiona kwa United board ni kama vile wanataka kuendeleza Identity ya Sir. Fergie na ndio maana wanazunguka kwa walewale Fletcher, Carrick, Solskjaer, Rodgers, Moyes..
Enrique / Erik ten hag ni mtu na nusu ila sasa atabadili culture nzima ya Club kwenye suala la soka uwanjani.
Liverpool ya Leo inavyocheza si lile pira lao la miaka ya huko kwa kina john Barnes
 
It's over
Screenshot_20211121-112720.jpg
 
Yaani nachokiona kwa United board ni kama vile wanataka kuendeleza Identity ya Sir. Fergie na ndio maana wanazunguka kwa walewale Fletcher, Carrick, Solskjaer, Rodgers, Moyes..
Enrique / Erik ten hag ni mtu na nusu ila sasa atabadili culture nzima ya Club kwenye suala la soka uwanjani.
We si umepigwa 4-0 Jana, unapata wapi ujasiri wa kuongea mkuu!
 
Back
Top Bottom