Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tutafungwa na Chelsea na Villareal kwa huu utaniutani
PSX_20211121_074415.jpg
 
Tutafungwa na Chelsea na Villareal kwa huu utaniutaniView attachment 2018221
Hako ka Fletcher katashinda mechi hizo alafu katapewa ukocha mkuu zen tutaendelea na vipigo, shida iliyopo Utd ni ubahili wa Glazer's family na ndiyo maana hata Ole walikuwa wanasubiri atangaze mwenyewe kuondoka ili wasimlipe pesa yake ya ku terminate contract but Ole aliwashtukia akakaza mpk dk ya mwisho.

Hata jana baada ya mechi bodi ilisubiri kwanza kauli ya Ole, ile kujifanya cjui kikao kinachukua masaa matano ni ujanja ujanja wa ku buy time ili Ole atangaze kuachia ngazi wasimlipe chake.

We kocha keshaonesha kukata tamaa tangu mwaka juzi unawezaje kukaa kikao cha masaa matano kujadili afukuzwe au abaki, haiingii akilini.

Hii timu ilipaswa ichukuliwe na waarabu hii.
 
Afadhali aje mwamba "Brendan Rodgers" atatufaa kwa mbinu zake za kimkakati .... binafsi sijapendezwa na tetesi za ole kusepa !! Tunahitaji vichekesho kila wiki kwa afya
Man U haiitaji kocha wa ku prove himself ktk team, huyu tutakuja kulalamika tena humu baadae.. mara 100 Zizzou tucheze tu hiyo gamble ukiangalia na uwepo wa Varane, Ronaldo ambao kimsingi kafanya nao kazi muda mrefu pia nadhani itambakisha Pogba Man U maana kwa mambo yanavoenda anasepa kabisa namuona
 
Kosa la Solksjaer ni kuingiza siasa kwenye mpira. Tangia kaanza kuinoa hii timu msisitizo wake kwenye usajili ulikuwa kwa wachezaji wa uingereza ambao hawana kiwango na aliwanunua kwa bei kubwa na kuwalipa mshahara mkubwa sasa ni mzigo.

Wachezaji wote wa uingereza aliowanunua au aliowakuta itabidi meneja mpya aamue la kuwafanya.

Pili, Pogba alipaswa kumuuza mapema ili alete wachezaji wenye kiwango.

Wachezaji wote aliowathamini wamemwangusha.
PSX_20211121_080045.jpg
 
Attachments

  • PSX_20211121_075953.jpg
    PSX_20211121_075953.jpg
    91.9 KB · Views: 5
Hako ka Fletcher katashinda mechi hizo alafu katapewa ukocha mkuu zen tutaendelea na vipigo, shida iliyopo Utd ni ubahili wa Glazer's family na ndiyo maana hata Ole walikuwa wanasubiri atangaze mwenyewe kuondoka ili wasimlipe pesa yake ya ku terminate contract but Ole aliwashtukia akakaza mpk dk ya mwisho.

Hata jana baada ya mechi bodi ilisubiri kwanza kauli ya Ole, ile kujifanya cjui kikao kinachukua masaa matano ni ujanja ujanja wa ku buy time ili Ole atangaze kuachia ngazi wasimlipe chake.

We kocha keshaonesha kukata tamaa tangu mwaka juzi unawezaje kukaa kikao cha masaa matano kujadili afukuzwe au abaki, haiingii akilini.

Hii timu ilipaswa ichukuliwe na waarabu hii.
Hamna uwezo wa kushinda mbele ya Chelsea Kwa sasa hivi mpo ovyo mpaka mpate kocha mzuri
 
Kwa hii, timu hata Zinedine Zidane hawezi kuwafunga Chelsea au Villareal yaani sahau. Tatizo ni kubwa sana. Ukiona wachezaji wamenunuliwa kwa bei ghali na hawana kiwango ujue mabadiliko yatachukua miaka miwili hivi. Huyo, Rodgers ambaye jana kafungwa tatu mtungi wakimleta hapo watamtimua ndani ya mwaka mmoja.

Waachane na makocha na wachezaji wa uingereza
 
Hamna uwezo wa kushinda mbele ya Chelsea Kwa sasa hivi mpo ovyo mpaka mpate kocha mzuri
Hata kocha mzuri namna gani hawezi kufurukuta kwa Chelsea kwa muda mfupi namna hiyo. Ukiona Watford anakufunga goli mbili majeruhi ujue iko shida kubwa na haitatuki leo
 
Hivi huyo Joel si wako nae muda wote anasubiri nini Ku approve? Kuna chochote cha kiufundi anachokiona kwa Ole? Au ni masuala ya uchumi? Yaani wanavyomzungumzia utadhani yuko mbali safarini sasa ndio wote wamekaa wanamngoja akifika ndio yeye ndio aidhinishe. Haiwezekani wengine wote waongee kitu kimoja halafu yeye tu na kura yake ya turufu awazungushe watu! Ujinga sana huu
 
Kosa la Solksjaer ni kuingiza siasa kwenye mpira. Tangia kaanza kuinoa hii timu msisitizo wake kwenye usajili ulikuwa kwa wachezaji wa uingereza ambao hawana kiwango na aliwanunua kwa bei kubwa na kuwalipa mshahara mkubwa sasa ni mzigo.

Wachezaji wote wa uingereza aliowanunua au aliowakuta itabidi meneja mpya aamue la kuwafanya.

Pili, Pogba alipaswa kumuuza mapema ili alete wachezaji wenye kiwango.

Wachezaji wote aliowathamini wamemwangusha.View attachment 2018249
Kwanza tuanze na boga la kiingereza livuliwe kitambaa apewe Bruno, au De gea.
 
Goli la mwisho la career yake United kama kocha amefunga De Beek.

Mashabiki wanadai Glazer ni bahili hakutaka kuvunja mkataba ili asimlipe Ole. Hapo anamuongelea mmiliki aliyenunua friji kwa 80M, Sancho kwa 72M na analamba benchi, De Beek kwa 45M na analamba benchi, Telles kwa 40M na analamba benchi. Varane anapokea 340K kwa wiki back four ya Arsenal kwa ujumla kwa wiki inapokea 310K.

Na ni timu ya pili kutumia pesa nyingi.

Ubahili?
 
Sisi mafans wa manure tunamtaka Ole abaki ..maana hatuna pa kumpeleka huyu Ole ni wetu hatuna namna tumpe muda tu.
Au munaonaje ndugu zangu?
 
Carrick alishindwa kumsaidia boss wake ila leo amepewa mikoba yeye.

Yani tumetoka kwa Conte tumekuja kwa Fletcher na Carrick. Kesho washinde mechi 5 mfululizo utasikia watu wanataka wapewe mikoba for good.
 
Yaani nachokiona kwa United board ni kama vile wanataka kuendeleza Identity ya Sir. Fergie na ndio maana wanazunguka kwa walewale Fletcher, Carrick, Solskjaer, Rodgers, Moyes..
Enrique / Erik ten hag ni mtu na nusu ila sasa atabadili culture nzima ya Club kwenye suala la soka uwanjani.
 
Sasa Kama atabadili au asibadili shida Yao nn haswa si ni kupata makombe Sasa Kama makombe yanakuja kubadili culture Kuna shida gani...???

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom