Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Interim manager atakopofika kivipi wakati interims ni hao kina fletcher na carrick kama unavyosema?
Taarifa niliyoisoma inasema Carrick anashikilia timu kusubiri ujio wa interim manager.
Screenshot_2021-11-21-14-11-03-50.jpg
 
Huyo zidane naona kama tunambembeleza sana kulingana na sources akiwemo Fabrizio romano siku za nyuma...

Inaoneka mke anataka kubaki ufaransa, mara yeye anaaim kuwa coach wa france national team, mara bado anataka kuendelea na likizo yake

Kama hali hizi ni kweli tuachane nae mbona sio kocha mkali kihivo....

Kama Zidane itashindikana basi tutaenda na interim mpya

Laurent blanc
Rangnick

Wapo considered
Umesema siyo kocha mkali kihivyooo!? Mimi Naamini Zidane siyo kocha mkali!
 
Roho inaniuma sana kumfukuza sosha kiukweli mimi nilikuwa nataka aendelee tu , lakini kwanini tumfukuze kocha mzuri kama yule?
 
Roho inaniuma sana kumfukuza sosha kiukweli mimi nilikuwa nataka aendelee tu , lakini kwanini tumfukuze kocha mzuri kama yule?
"It is with regret that we have reached this difficult decision," United said.
====
Ukisikia unafiki wa kizungu ndiyo huu. Ugumu wa maamuzi ulianzia wapi?
 
Je ni OLE TU PEKE YAKE AU KUNA BAAADHI YA WACHEZAJI NAO WAMECHANGIA NAO JANUARY WAFUNGULIWE MILANGO POGBA NI MCHEZAJI MZURI SANA ILA ANA AKILI YA KIAFRIKA KIBURI SANA NA KUJIONA YYE NI TOP STAR
 
Plan ni nzuri..tupate interim manager mpaka mwisho wa msimu then tutafute head coach wa kuanza msimu wa 2022/2023.

Sina imani na Zidane hata kidogo..Brendan Rogders ndo kabisa sitaki kumsikia bora hata ingekuwa Potter wa Brighton.

Tuongee na Erick Ten Haag..au tuende Bundesliga huko ndo kunakopatikana ma-tactical and philosophy masters wa futiboli.
 
Tumefanikisha jambo la kumuondoa Ole kazi kubwa iliyopo mbele yetu ni kujua nani atakuwa mbadala wa Ole as interim manager na permanent manager.

Interim managers list.
1. Laurent Blanc
2. Ryan Giggs
3. Sam Allardyce
4. Rudi Garcia.

Permanent managers list.
1.Eric Ten Hag
2. Marco Rose
3. Ralph Hassenhutl
4. Gian piero Gasperin
 
Plan ni nzuri..tupate interim manager mpaka mwisho wa msimu then tutafute head coach wa kuanza msimu wa 2022/2023.

Sina imani na Zidane hata kidogo..Brendan Rogders ndo kabisa sitaki kumsikia bora hata ingekuwa Potter wa Brighton.

Tuongee na Erick Ten Haag..au tuende Bundesliga huko ndo kunakopatikana ma-tactical and philosophy masters wa futiboli.
Kma TT AU KLOP UPO SAHIHI
 
Huyo zidane naona kama tunambembeleza sana kulingana na sources akiwemo Fabrizio romano siku za nyuma...

Inaoneka mke anataka kubaki ufaransa, mara yeye anaaim kuwa coach wa france national team, mara bado anataka kuendelea na likizo yake

Kama hali hizi ni kweli tuachane nae mbona sio kocha mkali kihivo....

Kama Zidane itashindikana basi tutaenda na interim mpya

Laurent blanc
Rangnick

Wapo considered
Hahaa uko serious hapo nilipoweka wino mzito (bold)? Mwanaume anayeongozwa na mke wake hafai kuongoza kundi la wanaume mahala popote pale. Kuna siku mke wake atamwambia Cristiano Ronaldo asiwe anaanza kisa kagoma kusaini kitabu chake cha kumbukumbu.

On serious note though, kwa mujibu wa tamko rasmi la timu (kocha wa mpito wa kumaliza msimu) inaonekana mazungumzo ya awali na Erik Ten Hag yamefanyika tayari. Edwin Van Der Sar yupo tayari kumuachia kuanzia mwezi June mwakani, aliongeza mkataba wa miaka miwili mwezi wa nne mwaka huu.

Zidane sio jina linalopigiwa chapuo na uongozi ila vyombo vya habari ndio vinavyo-speculate. Sidhani kama Zidane yupo hata ktk discussion za uongozi. Ni kocha pekee aliye available na anapatikana kwa urahisi kuliko yeyote yule na kwa gharama nafuu pia.
 
Back
Top Bottom