Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fukuzia mbali hii taka taka ,,,, !!!! Tena na bench lote limejaa uozo,,, pengine Mike Phelan alitakiwa apewe timu kwa kipindi hiki wakiwa wanatafuta huyo kocha wa MPito wa kumalizia msimu,,, ! Carrick Ni wale wale empty Hana uzoefu,,,,

Anyway,,,, #GGMU
 
Huyo zidane naona kama tunambembeleza sana kulingana na sources akiwemo Fabrizio romano siku za nyuma...

Inaoneka mke anataka kubaki ufaransa, mara yeye anaaim kuwa coach wa france national team, mara bado anataka kuendelea na likizo yake

Kama hali hizi ni kweli tuachane nae mbona sio kocha mkali kihivo....

Kama Zidane itashindikana basi tutaenda na interim mpya

Laurent blanc
Rangnick

Wapo considered
Yule kocha wa Ajax naona yupo vizuri sana
 
Taarifa inasema kwamba Ole kaachwa Carrick atashikilia timu kwa muda wakati wanamfikiria kocha wa kuja kukaa na timu mpaka mwisho wa msimu.

Yaani ni kwamba wale waliojiita title contender hawana mpango na ile title kwa msimu huu. Na kumpa timu Carrick mimi naona ni yaleyale tu.
 
Carrick hawezi kuwa kocha kwa zaidi ya wiki mbili..acha masihara..
 
Kuwapa wachezaji mishahara mikubwa na mikataba mirefu ndo inawapa kiburi.

Ilitakiwa iwekwe maximum salary, kama ukitaka kucheza United lazima ubaki kwenye hiyo frame.

Utapata wachezaji wafia timu wa bei ya kawaida sana ambapo watakuwa proud kucheza United.

Ila haya mambo ya kuwanunua kina Maguire kwa 80M au Sancho kwa 72M lazima upate wachezaji wavivu na wanaojiona wakubwa kuliko club.

No contract extension na wakiongeza mkataba shusha mshahara, akikataa aende huko atalipwa hiyo hela.

Na ninachojua ukiacha PSG sidhani kama kuna timu nyingine ya kulipa mishahara mikubwa kama Utd.
Maximum salary?
 
Huyo zidane naona kama tunambembeleza sana kulingana na sources akiwemo Fabrizio romano siku za nyuma...

Inaoneka mke anataka kubaki ufaransa, mara yeye anaaim kuwa coach wa france national team, mara bado anataka kuendelea na likizo yake

Kama hali hizi ni kweli tuachane nae mbona sio kocha mkali kihivo....

Kama Zidane itashindikana basi tutaenda na interim mpya

Laurent blanc
Rangnick

Wapo considered
Blanc nafikiri yuko powa Zidane ile treble ya trophy ndio ina mbeba but si mzuri sna
 
Unafki hadi Ulaya.
Screenshot_20211121-140459_Twitter.jpg
 
Hii kusema wanatafuta interim coach mpaka mwisho wa msimu Kama nimewaelewa hivi! Yani huenda Kuna kocha pahala wanamvizia na wanaijua contract situation yake,,,,

Tutulize mtori nyama ziko chini ,,,,,
 
Watakua wamefanya uamuzi mzuri sana kuwaweka Fletcher na carrick !! nakiri ni maamuzi mazuri sana kulinda DNA yetu !! ... Na Ferguson azidi kufanya maamuzi kulinda hii DNA

Sisi kama nyumbu tuko mashabiki zaidi ya milioni 75 ... hatuwezi kupelekeshwa na maneno ya mashabiki 20 wa JF

Cha muhimu DNA ndio kila kitu kwetu
Mkuu DNA bila makombe utafika...???

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Huyo zidane naona kama tunambembeleza sana kulingana na sources akiwemo Fabrizio romano siku za nyuma...

Inaoneka mke anataka kubaki ufaransa, mara yeye anaaim kuwa coach wa france national team, mara bado anataka kuendelea na likizo yake

Kama hali hizi ni kweli tuachane nae mbona sio kocha mkali kihivo....

Kama Zidane itashindikana basi tutaenda na interim mpya

Laurent blanc
Rangnick

Wapo considered
Zidane hamtaweza kumvumilia kwakua kutokana na kikosi yeye hatoweza kuleta instant success kitu ambacho mashabiki ndicho wanataka so natarajia #ZidaneOut soon baada ya kua appointed.
 
Back
Top Bottom