Acha uongoNi moto wa Kuotea Mbaliiiiiii
Acha uongoNi moto wa Kuotea Mbaliiiiiii
Bro sijaona ubashiri leoJtatu Zinedine Zidane atatangazwa kocha mpya huyu CR7 na Pogba wamechangia hili. Ila Mungu atawalipa
Leo ndio siku rasmi ya kumfukuza Sosha, naona wachezaji wameamua kuweka mgomo, Hata Ronaldo aliyekuwa anamnusuru naye kaamua kugoma
Bora Carrick aondoke abaki Ole.Mie nafikiri Ole afukuzwe abaki Carrick
Then man u matic na sancho hao wote hawachezi wana zurura tu
Keep himSOSHA AONDOKE TU..ETI VAN FE BEEK NA MARTIAL NDIO WANAINGIA, ETI HAWA NDIO WATUOKOE![]()
Sasa unapoleta bogus si na wewe naye ni bogus au?Bora Carrick aondoke abaki Ole.
Huyo ni bogus kuliko boss wake.






Aisadie Timu 


kutoka kwenye Goli 2 



Ole Mashabiki wa Man U Unatuchukuliaje?Mkuuu hauko serious na timu mkuuu ole ndio uchafu ule miaka mi 3 ss hana hata first elevenBora Carrick aondoke abaki Ole.
Huyo ni bogus kuliko boss wake.
Hafukuzwi mkuuu nipo hapaOle asipofukuzwa baada ya kipigo cha leo basi mganga wake mzuri