Neg 1Muna goals 20 halafu mumepachikwa goals 21 hehehehii kitaalamu tunaitaje..!?
Pamoja na hivyo, bado team yake inasuasua sana.Rooney hafai japo Derby kabla ya kuanza msimu walinyang'anywa point 18
Kikosi cha Man U Hata Brendan hatakiweza, kimejaa wachezaji wanaotaka kucheza wanavyotaka wao. Zizou kwa sasa ndio anaweza kuwamudu hao wajinga.Next Manchester United Manager odds
Brendan Rodgers 13/10
Zinedine Zidane 2/1
Erik Ten Hag 7/1
Mauricio Pochettino 16/1
Laurent Blanc 33/1
Michael Carrick 33/1
manutd |
#GGMUView attachment 2018482
Kama wanamtaka Zizou italazimika na Sir Alex aondoke Board. ZIZOU hayuko tayari kwa namna yoyote ile kuingiliwa kwenye maswala ya uwanjani, na Sir Alex, as long as he has a say in the affairs of the club, his habit of poking his fingures into the coaches business is unstoppable.Ed Woodward is intent on trying to secure Zinedine Zidane as Solskjær’s replacement and United hope to persuade him, but he is still cool on the idea. If that proves to be the case, United may accelerate plans to try and get Erik.
manutd |
#GGMU![]()



hiyo avatar umeweka ni wewe au ni mke wako?Watakua wamefanya uamuzi mzuri sana kuwaweka Fletcher na carrick !! nakiri ni maamuzi mazuri sana kulinda DNA yetu !! ... Na Ferguson azidi kufanya maamuzi kulinda hii DNA
Sisi kama nyumbu tuko mashabiki zaidi ya milioni 75 ... hatuwezi kupelekeshwa na maneno ya mashabiki 20 wa JF
Cha muhimu DNA ndio kila kitu kwetu
Shikamoo bernard membehiyo avatar umeweka ni wewe au ni mke wako?


... Leo hakuna cha Sir Alex wala Sir Elton, lazima kieleweke na akileta ujinga naye anaondoka. Kamati ya ufundi toka Tz tuko kazini, timu yetu sote na kuumia tunaumia sote, timu co ya babaake ile waliyoianzisha washakufa.