Kdb hakukosea aisee ...hahaaaa

Kabla ya game ya united ,wakiwa wanataka kujiandaa kwenye mazoezi pep alikuja na kusema acheni kufanya mazoezi ,nendeni mkanywe bia ,hatujui nyumbu wanaenda kucheza Nini , kunyweni bia tukutane OT kulee,....ndio maana ile game wote walikuwa wamelewa kasolo ederson tu .................na tukashinda goli 2
 
Wazungu huwa wanamaanisha, yeye mwenyewe anaipenda timu na anajua kwa heshima yake hawezi kufukuzwa kwahiyo kaona bora aachie ngazi aje mwengine mana falsafa zake zote zimefeli, anaumizwa na matokeo so lazma ajiondoe.
Kama ni hivyo angeshaondoka toka msimu uliopita
 
Back
Top Bottom