Kama ole aaipofukuzwa leo naacha kushabikia hii timu
Bado tunaimani na sosha
Tumpe muda tu
Ina maana ile penalty ingekubali mbgekuwa mnaongozwa mbili eee
Kama ole aaipofukuzwa leo naacha kushabikia hii timu
Msimu mmoja mwingine aijenge timu, sosha mbona anajua sanaMuda wa nini [emoji28]