Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Hao wasaidizi wake kina Carrick kwanini wasimsaidie boss wao?Mkuuu hauko serious na timu mkuuu ole ndio uchafu ule miaka mi 3 ss hana hata first eleven
Wasepe wote.
Hao wasaidizi wake kina Carrick kwanini wasimsaidie boss wao?Mkuuu hauko serious na timu mkuuu ole ndio uchafu ule miaka mi 3 ss hana hata first eleven
Man atakushangaza kipindi cha kwanza huwa anauchapa lakini cha pili huzinduka usingiziniHamna Sare hapa Labda Watford Wasiwe Serious Na Maisha.
Wameanza kulegeaHamna Sare hapa Labda Watford Wasiwe Serious Na Maisha.
Brother naona kma na ww umelegea haraka sana akishinda ole kelele zote mnapunguza noo huyu inatakiwa hata ashinde game 10 anatakiwa asepe tuWameanza kulegea
Bado yupo sana.Afadhali naamini safari hii atafukuzwa