inavyosemekana fergie, woodward na richard arnold ndio wamekuwa mstari wa mbele kuitetea nafasi ya Ole, si ajabu yeye na mwenyekiti wa zamani wa klabu bwana michael edwards wameamua kuhudhuria mazoezi pengine kwa kuzungumza na wachezaji na benchi la ufundi (kwenye mazungumzo sina uhakika).
bila ya shaka wanachokhofia wao huenda kocha ajaye akaharibu structure nzima ya ujengwaji wa taasisi ya manchester united kazi ambayo imefanywa na Ole kwa kiwango fulani kinachoridhisha (tumewezekeza vizuri mpaka kwenye scouting chini yake)
Ole akiwa serious hata wachezaji watarudisha tena morali ya kiuchezaji (wao bado wanaamini wiki mbili zijazo zinaweza kugeuza sura nzima ya klabu kimatokeo na kiuchezaji).
waswahili wanasema bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi.
Ole kabahatika, kazi kwake
hii picha si ya leo : (ed woodward, david gill, ferguson na richard arnold)