Issue si mafanikio bali rebuild itakayohitajika pale mambo yatakapo paranganyika. LVG, Mou, Ole, kila kocha ana style yake na kila kocha amesajili wachezaji wake sababu mfumo wa aliyemtangulia ni tofauti na wake. Conte akija nae ana wachezaji wake tofauti, na wachezaji wake Makocha wengine hawawezi kuwatumia, mfano Chelsea Alimuacha Victor Moses kama Key player na Marcus Alonso, nani Duniani anaweza Kushinda Epl na Victor Moses kama Key player? Ilibidi kufanyike Rebuild kubwa wakati wa lampard mpaka kuja kuwa na mafanikio ya Tuchel.
Timu zinazoendeshwa vizuri wanakuwa na makocha wao na kocha mpya akija Rebuild si kubwa sana, Angalia Bayern nadra sana kuona Core ya Timu imebadilika ila makocha wanabadilika, Barca ya Zamani, Juve, Man City etc