Ole hajafeli kurudisha DNA Ya man Utd, tuna wachezaji Kila idara ambao wana hadhi ya Kuchezea Man utd, Mseme kwa mambo yote ila Rebuild yake ni Nzuri.
Kuhusu Conte huu usajili wake wa mwanzo inter
-2019/2020 katumia €199m
Transfers: Overview of all signed and sold players of club Inter for the current season.
www.transfermarkt.com
-2020/2021 katumia €108
Ukumbuke wamiliki wa Inter wamepigwa Pini na serikali ya China kuspend hela Nje ya nchi Yao hivyo ilibidi hela za usajili zitoke ndani ya Club. Na inter si timu tajiri yenye uwezo wa kuspend na kutoa almost Euro milioni 300 ndani ya misimu miwili, hivyo ikaingia deni kubwa sana.
Ndani ya miezi 18 inabidi Inter wa raise Euro milioni 360 ama itabidi club iuzwe, situation yao si tofauti na Barcelona kivile.
Na hizo data ni usajili tu bado mishahara mikubwa