Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

As a boyhood Manchester United fan since 1970, I will be heart broken if Ole is sacked. He is our club legend and deserves better from the so called “fans”. Signed - Honest Manchester United fan.
1635219505263.png
 
Tetesi za Potter zipo zamani tu, zidane kwa kikosi chetu inamake sense zaidi sababu tuna wachezaji wake wengi ila Nasikia hata Kingereza Hajui kuongea. Conte ni Conte unless tunabadilika Toka juu na kumpa Support 100% kuna possibility kubwa ikawa Mourinho part 2.

Anyway tuwape nafasi Kina Fletcher na Murtough pengine wanajua mengi tusiyoyajua.
Mourinho ndio alileta makombe ya mwisho kwa United ,uamuzi wa kumwondoa Mou afu unamleta Ole ilikuwa maamuzi ya bar kabisa, Mou akipewa kikosi hiki kutakuwa hakuna wa kumfunga.
 
Ukiangalia makocha wakubwa wenye profiles kubwa ni Conte na Zidane ndiyo hawana kazi lakini ni kama hawaaminiki hivi kwa Manchester United.

Nje ya hao huoni profile ya kuweza kupambana na pressure iliyopo United.

Ole kudumu United kwa misimu mitatu ni kutokana na kutoshambuliwa sana na legends wenzake wamemlinda sana ila imefikia hatua hawana sababu za kumtetea tena.
Zidane huwa simwamini, Conte nina uhakika akija Man Man utd wanaweza kushinda kombe lingine, ila wakimzengua kama walivyofanya kwa Mourinho, hakawii kukiwasha.
 
Manchester United wanafikiria kumfukuza kazi kocha wao Ole Gunnar Solskjaer baada ya kipigo cha kudhalilishwa na Liverpool cha mabao 5-0 jana.

Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu hiyo Richard Arnold leo alifanya mazungumzo ya dharura na wamiliki wa Klabu hiyo wakati kukiwa na presha kubwa ya kuhusu kocha Ole Gunnar Solskjaer ya kibarua chake cha takribani miaka mitatu kutakiwa kifikie mwisho.

Taarifa zinasema huenda akafukuzwa kabla kufikia Jumamosi ambapo Manchester United itavaana na Tottenham Hotspurs Mjini London.

#KitengeSports
Ed Woodward yuko wapi
 
Zinedine Zidane huyu sawa kabisa au hata Erick Ten Hag wa Ajax Amsterdam lakini Conte au Brendan Rodgers hapanaaaaaaaaaaaaaa
PSX_20211026_085022.jpg
 
Zinedine Zidane to replace Ole Gunner Solksier NEXT WEEK if Manchester United loses to Tottenham Hotspurs even a draw will not save his job?
PSX_20211026_085752.jpg
 
He got his tactics wrong against Liverpool for sure but what about Aston Villa, Leicester?

You cannot score a penalty and you do not recover lost balls. Ball recoveries rate lowest in the top six team bracket.

Players need new no nonsense boss. Solksier too soft on them.
PSX_20211026_090333.jpg
 
Mourinho ndio alileta makombe ya mwisho kwa United ,uamuzi wa kumwondoa Mou afu unamleta Ole ilikuwa maamuzi ya bar kabisa, Mou akipewa kikosi hiki kutakuwa hakuna wa kumfunga.
Issue si mafanikio bali rebuild itakayohitajika pale mambo yatakapo paranganyika. LVG, Mou, Ole, kila kocha ana style yake na kila kocha amesajili wachezaji wake sababu mfumo wa aliyemtangulia ni tofauti na wake. Conte akija nae ana wachezaji wake tofauti, na wachezaji wake Makocha wengine hawawezi kuwatumia, mfano Chelsea Alimuacha Victor Moses kama Key player na Marcus Alonso, nani Duniani anaweza Kushinda Epl na Victor Moses kama Key player? Ilibidi kufanyike Rebuild kubwa wakati wa lampard mpaka kuja kuwa na mafanikio ya Tuchel.

Timu zinazoendeshwa vizuri wanakuwa na makocha wao na kocha mpya akija Rebuild si kubwa sana, Angalia Bayern nadra sana kuona Core ya Timu imebadilika ila makocha wanabadilika, Barca ya Zamani, Juve, Man City etc
 
Zinedine Zidane to replace Ole Gunner Solksier NEXT WEEK if Manchester United loses to Tottenham Hotspurs even a draw will not save his job?View attachment 1987074
I am convinced Man Man utd will win the next fixture. I am no pessimistic, but I have serious aspersions on the tactical capability of Zidane. I am even more worried to imagine whether Ronaldo still has a mojo to be relied upon in winning cups.
 
Zidane alikua na kismati tu cha wachezaji pale Madrid kipindi kile yeye mwenyew alishtukia akasepa alivorudi mara ya pili mkaona kabisa hamna kitu pale mpka akaondoshwa so si kocha wakufundisha man utd
Pia uyo kocha wa Ajax ni wa kawaida mno ndo wa kina sendeka wengine hao wamechangamka tu angekua bora sana asingekua Ajax mda huu
 
Zidane alikua na kismati tu cha wachezaji pale Madrid kipindi kile yeye mwenyew alishtukia akasepa alivorudi mara ya pili mkaona kabisa hamna kitu pale mpka akaondoshwa so si kocha wakufundisha man utd
Pia uyo kocha wa Ajax ni wa kawaida mno ndo wa kina sendeka wengine hao wamechangamka tu angekua bora sana asingekua Ajax mda huu
Tatizo lenu mnafata sana mkumbo yani unasema Zidane alikuwa na kismati, UCL 3 kwa misimu mitatu mfululizo unaita kismati!? Mnaangalia mpira gani? Kwahiyo pale Madrid wachezaji walikuwa wanajichezea tu bila mbinu za kocha sasa kwanini wachezaji wa United wameshindwa tu kujichezea kuifunga hata Leicester City kama mpira ni kukusanya wachezaji tu na kujichezea.
 
Mkataba wa ole una miaka mitatu iliyo hai


Nyie wapuuzi wa jf mnaotaka ole aondoke, mna pesa ya kumlipa!!??

Ole yupo sana tu

Dua zetu zote zinaenda kwenye game ya Leicester.. Ole naomba utafute ushindi unyamazishe hizi kelele za Zidane na Conte
 
Back
Top Bottom