Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Shaw amedrop form vibaya mno,going foward,kukaba na kujiposition..Shaw !! How ame drop?
Shaw amedrop form vibaya mno,going foward,kukaba na kujiposition..Shaw !! How ame drop?
Hahaaa klopp sio poa ....
Kuleni glucose mwendo mdundo hakuna kuachana na team songeni mbele kwa mbeleNahisi huyu jamaa atakuwa na siri nyingi za uongozi, anyways nilirudi nikidhani kocha atafukuzwa but now nimerudi kwenye msimamo wng wa kuachana na hii timu mpk aondoke huyu mmasai, ze-dudu utajichosha tu mkuu.
Huyu si ndiye huwa anaposti kosi la dunia kwenye majukwaa ya wanaume!?Shetani mwekundu unataka kwenda wapi Sasa![]()
Labda ashinde na njaaPogba kupinga habari za uongo, Ronaldo kum-support ex-teammate wake, Sir. Fergie kutokea mazoezini jumlisha na ushindi wa jumamosi dhidi ya Spurs kutamuweka Solskjaer kwenye nafasi nzuri kwa mara nyingine tena.
Ole aondoke tu. Hatuhitaji tena kocha wa aina yake.akileta ubishi wa kijinga ataendelea kuadhibiwa,
- ampe nafasi donny kama anavyofanya kwa wachezaji wengineo mfano scott mctominay
- wakati huu ambao luke shaw na maguire wanacheza ovyo ajaribu kuwaangalia na wengineo mfano bailly na telles
- mawazo ya double pivot ya mcFred ayaondoe kichwani mwake
- afanye mapinduzi ya kimbinu
sio huyo bibi tu fans walitoa yao ya moyoni baada ya ile match ya JPILI #MANULIV2019 bibi kaongea kwa uchungu sana tena ukweli mtupu