Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

akileta ubishi wa kijinga ataendelea kuadhibiwa,
  • ampe nafasi donny kama anavyofanya kwa wachezaji wengineo mfano scott mctominay
  • wakati huu ambao luke shaw na maguire wanacheza ovyo ajaribu kuwaangalia na wengineo mfano bailly na telles
  • mawazo ya double pivot ya mcFred ayaondoe kichwani mwake
  • afanye mapinduzi ya kimbinu
Hana huo uwezo bana yule jamaa mbinu pia hana, ngoja tuone kama atabadilika na ujinga wake ila siamini mtu amekaa miaka 4 sasa tunacheza hovyo atabadili hili kwa wiki 2 okay ngoja tuone.
 
Ole Sendeka piga kazi Baba wasikupangie cha kufanya.
IMG_20211026_212025.jpeg
 
As an honest Man Utd fan, I'm disgusted by your comment. In my fifty years as a loyal Man U fan, I've never seen a coach tactically better than Ole and I think he's the best coach we've ever had. Back him and trust the process. We can do this. We are United!
Nahisi huyu jamaa atakuwa na siri nyingi za uongozi, anyways nilirudi nikidhani kocha atafukuzwa but now nimerudi kwenye msimamo wng wa kuachana na hii timu mpk aondoke huyu mmasai, ze-dudu utajichosha tu mkuu.
 
Aisee hii timu hii,team rebuild imekuwa ni kazi Sana kwetu,kujenga timu ni kazi sanaaa huwa ndo Mana kila siku nawapongeza Sana Bayern Munich wale jamaa wanajua wanachokifanya Tena ni kwa miaka mingi Sana...
Hawako kwenye ligi yenye ushindani hivyo even an average team inaweza kufanya vizuri kwao.

Angalia msimu wako na Niko Kovac walistruggle baada ya kumwajiri Hans Flick wakarudi kileleni na kutwaa ubingwa.

Kwahiyo wao kwenye ligi hata kama timu yao haina muunganiko mzuri inaweza kufanya vizuri taratibu mpaka inarudi kwenye mstari.

Ligi ya Epl kuna matimu kama 10 yote yanakaribiana sana kiuwezo hivyo ukiwa na timu bado haijaunganika lazima ya kuadhibu kila mechi
 
Nahisi huyu jamaa atakuwa na siri nyingi za uongozi, anyways nilirudi nikidhani kocha atafukuzwa but now nimerudi kwenye msimamo wng wa kuachana na hii timu mpk aondoke huyu mmasai, ze-dudu utajichosha tu mkuu.
Mkuu haya mambo ya kususia timu tushafanya sana lakini hayafanyi kazi.
Rudi kwenye jukwaa letu tuwe tunaliwazawana hapa kwa kumkosoa ole kwa keyboard.
 
#MICHEZO Tetesi zinaeleza kuwa Ole Gunner Solskjear anatarajiwa kuendelea kuifundisha klabu ya Manchester United licha ya kipigo walichokipokea kutoka kwa Liverpool.

Licha ya tetesi za kutimuliwa kwake huku Antonio Conte akihusishwa, imedaiwa kuwa uongozi unatarajia kujikita zaidi katika kuboresha hali iliyopo kuliko kumtimua kocha huyo.
Wachezaji wakikukataa utachezea vipigo kila leo we ona juzi tumefungwa magoli mepesi mno.....
 
Tafuta timu uhame,Bodi ya timu imekataa kusikiliza majungu yenu.
Nahisi huyu jamaa atakuwa na siri nyingi za uongozi, anyways nilirudi nikidhani kocha atafukuzwa but now nimerudi kwenye msimamo wng wa kuachana na hii timu mpk aondoke huyu mmasai, ze-dudu utajichosha tu mkuu.
 
If #mufc do sack Solskjær, the Glazers are keen to bring in a manager for the long term who shares the club’s traditions of blooding youngsters and playing attacking football [Times]

manutd |
#GGMU
mambo yanaanziaga kuharibikia hapa kwenye blood na DNA
 
Back
Top Bottom