Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kitasa
IMG_20211025_084944.jpg
 
Kipi ulichokuwa unakiona mwanzo sasa hukioni au kimebadilika.
Bado mkuu naamini mpaka msimu ulioisha alikuwa mtu sahihi,

-kulikuwa na improvements kimatokeo misimu yote miwili
-usajili mzuri ku cover viraka vyote, sasa hivi ukitoa DM kikosi chetu kina watu kila idara.
-Team ilikuwa ni moja na sijawahi kusikia Dressing room problems.

Ila kwa sasa kuna matatizo makubwa hasa kwenye Kuhandle ma Super star kama Ronaldo na suala zima la pressing. Zamani mechi kama ya Jana tungecheza 3-5-2 yetu na kina James, tungejaza wachezaji wengi nyuma na kupata point 1 ama 3, ila sasa hivi kila tukijaribu kupanga kikosi cha kushambulia tunapitika kirahisi sana.

Mimi mwenyewe sina confidence kama anaweza kuturn around hilo suala, kama anajiona hawezi ni vyema succession plan ifanyike mapema, na sababu naamini Ole anaipenda Man U kutakuwa na Mutual Termination.
 
Insanity is doing the same thing over and over and expecting different results.

Ole ni yuleyule, coaching staff ileile, wachezaji walewale, double pivot ileile, "not the result we wanted" ileile, "United DNA" ileile, "we gave away too many chances" ileile.
 
Bado mkuu naamini mpaka msimu ulioisha alikuwa mtu sahihi,

-kulikuwa na improvements kimatokeo misimu yote miwili
-usajili mzuri ku cover viraka vyote, sasa hivi ukitoa DM kikosi chetu kina watu kila idara.
-Team ilikuwa ni moja na sijawahi kusikia Dressing room problems.

Ila kwa sasa kuna matatizo makubwa hasa kwenye Kuhandle ma Super star kama Ronaldo na suala zima la pressing. Zamani mechi kama ya Jana tungecheza 3-5-2 yetu na kina James, tungejaza wachezaji wengi nyuma na kupata point 1 ama 3, ila sasa hivi kila tukijaribu kupanga kikosi cha kushambulia tunapitika kirahisi sana.

Mimi mwenyewe sina confidence kama anaweza kuturn around hilo suala, kama anajiona hawezi ni vyema succession plan ifanyike mapema, na sababu naamini Ole anaipenda Man U kutakuwa na Mutual Termination.
Nakubaliana na wewe..Rashford,Ronaldo,Greenwood,Fernandes wote hawa wanajogi tu uwanjani..ukicheza na timu kama liverpool inabidi ubane spaces na ukabe kwa umakini wa hali ya juu.

Ole ameshindwa kumanage kikosi chetu..
 
Ukiangalia kwa jicho la tatu.. Ronaldo n mzigo aiseee.. buy ya Ronaldo haikutakiwa... Nazid kurudia kama Klopp alipewa muda why not Ole?
Ronaldo anahusika vipi na timu kucheza angalau mpira mzuri? hebu mtuambie nyie mnaompa lawama Ronaldo yani yeye akiwepo uwanjani anazuia timu kupiga hata pasi 10 nzuri au yeye anazuia mabeki kukaba vizuri?
 
Mkuuu nimekuambia uwe unaangalia Ronaldo akicheza kwa jicho la tatu.. Ronaldo ni mzigo kwenye team.. tena mzigo mkubwa.. kama jana amefanya nn cha maana... Ronaldo games zake n za Norwich City.. Newcastle City.. Burnley.. etc
 
Back
Top Bottom