Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,695
- 32,446
Arsenal aliwahi kufungwa 8Mnafungwaje 5 tena home ground nyie mbumbumbu
Arsenal aliwahi kufungwa 8Mnafungwaje 5 tena home ground nyie mbumbumbu
Mimi binafsi Zidane simkubali, ila makocha wa Kidachi pia siwaamini sana especially anayetoka Ajax au PSV na awe hajawahi kufundisha vilabu vingine kwa mafanikio ( hizi timu zinabebwa na ukubwa wa timu zao, ni kama scenario ya Bayern na PSG)Mimi naona Eric Ten Hag ni modern coach anayecheza kwa ujasiri sana kuliko Conte na Zidane
Tetesi za Potter zipo zamani tu, zidane kwa kikosi chetu inamake sense zaidi sababu tuna wachezaji wake wengi ila Nasikia hata Kingereza Hajui kuongea. Conte ni Conte unless tunabadilika Toka juu na kumpa Support 100% kuna possibility kubwa ikawa Mourinho part 2.hatuna succession plan ndio maana klabu bado inamuona Ole ni mtu sahihi.
si conte wala zidane atakayeridhia mwenendo wa uwendeshwaji wa klabu kama afanyavyo Ole,
kama bodi itamuhitaji yes man nafikiri graham potter anaweza kuwa chaguo sahihi kwao.
au hata steve bruce
😀😀😀😀
Aisee hivi Sokoni sasa hivi hakuna proper candidate wa kufundisha United?Tetesi za Potter zipo zamani tu, zidane kwa kikosi chetu inamake sense zaidi sababu tuna wachezaji wake wengi ila Nasikia hata Kingereza Hajui kuongea. Conte ni Conte unless tunabadilika Toka juu na kumpa Support 100% kuna possibility kubwa ikawa Mourinho part 2.
Anyway tuwape nafasi Kina Fletcher na Murtough pengine wanajua mengi tusiyoyajua.
Aisee hivi Sokoni sasa hivi hakuna proper candidate wa kufundisha United?
Ndo mtihani wa kwanza wa Murtough tuone na yeye uwezo wake, yeye kama Dof anatakiwa sasa hivi awe na shortlist tayari na succession plan nzuri kutokana na wachezaji wetu.Aisee hivi Sokoni sasa hivi hakuna proper candidate wa kufundisha United?
United walikosea kumpa OGS permanent contract kile kipindi akiwa interim manager kilimtosha Manchester United ni kubwa sana kwake na uwezo wake ni mdogo sana .Alipewa nafasi nzuri sana kutengeneza profile yake kwenye career yake ya ukocha lakini imemshindaBelo my braza, nakusalimu mkuu. Pole najua ni kwa kiasi gani unaumia na hii club iliyopewa malegendar ambao hawajui soka la mbinu zaidi ya lile walilocheza kipindi chao.
Kwa taarifa yako tu braza, sosha hatakiwi pale OT, lakini ni nani atakuwa mbadala wake? Coach wa viwango vya juu wa kufundisha club kubwa kama united ni nani?
Menegement yote na body pia wanashindwa kujua nani wampe huu mzigo ausogeze. Conte! Hawezi kukubali kuchukua timu kwenye mazingira yaliyopo sasa.
Nani kwa mtazamo wako anaweza kupokea hii timu toka kwa ole?
Poleni sana.
Ukiangalia makocha wakubwa wenye profiles kubwa ni Conte na Zidane ndiyo hawana kazi lakini ni kama hawaaminiki hivi kwa Manchester United.Ndo mtihani wa kwanza wa Murtough tuone na yeye uwezo wake, yeye kama Dof anatakiwa sasa hivi awe na shortlist tayari na succession plan nzuri kutokana na wachezaji wetu.
Shabiki wa Chelsea uku unafanya nini aisee unatutafuta ubayaUkiangalia kwa jicho la tatu.. Ronaldo n mzigo aiseee.. buy ya Ronaldo haikutakiwa... Nazid kurudia kama Klopp alipewa muda why not Ole?
Kwa mtazamo wangu hakuna ila hans flick akachomolewe pale national timuAisee hivi Sokoni sasa hivi hakuna proper candidate wa kufundisha United?
Kwanini tusimfuate Joakim Low ?Kwa mtazamo wangu hakuna ila hans flick akachomolewe pale national timu
Hahahahahahaha nasema Hivi ..tumpe beans Ole Muda ..maana jamaa ni genious kinoma.😂😂😂Mpaka sasa hakuna breaking news.
Mganga wa Ole ni kiboko unaweza kukuta anatoboa msimu kimasihara tu.