Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuuu nimekuambia uwe unaangalia Ronaldo akicheza kwa jicho la tatu.. Ronaldo ni mzigo kwenye team.. tena mzigo mkubwa.. kama jana amefanya nn cha maana... Ronaldo games zake n za Norwich City.. Newcastle City.. Burnley.. etc
alooo
 
Pogba nae akaona isiwe tabu aibu zenu msiniletee kuniweka ndani tushakula mkono nikafanye nini akaambua kujitokea zake kwa Red yale ni makusudi alitaka tupigwe hata 10 umbwa yule afurahi.
 
Mkuuu nimekuambia uwe unaangalia Ronaldo akicheza kwa jicho la tatu.. Ronaldo ni mzigo kwenye team.. tena mzigo mkubwa.. kama jana amefanya nn cha maana... Ronaldo games zake n za Norwich City.. Newcastle City.. Burnley.. etc
Tulia kijanaa huna unachokijuaa.. Magwaya utasemaje sasa???
 
Haiwezekan lecister city wachukue £80million za man utd kwa ajili ya Maguire huu ni uhuni mazeee
 
Mpaka msimu uliopita unaisha
Na manzoni mwa msimu hours ole alikua vizury sana greenwood akiwa moto sana lakn
Baada ya ronaldo kuja asee vitu vimechange
Japo sinaukika kama ronaldo anasababisha tusiposses mpira
 
Anaesema Ronaldo basi hajui kitu, VDB tuu anaonekana mzigo wakati bonge la player, hapo ni kocha na Tactics. Chelsea mfano mzuri, ilikua ovyo sana chini ya Lampard na kikosi hicho hicho kimebeba UEFA, i repeat TACTICS na Coach. Mpaka leo hii OLE anajifunza na kuuliza sasa huoni hapo tuna balaa. Kikosi ni kikubwa kimemzidi Ole. Akubali na asepe tu sisi sio Arsenal.
 
Nawasalimu kwa jina la kaputeni MANGWA,msifukuze kocha sasa ivi mapema sana ,gemu yenu na chelsea ikiisha fukuzeni ,msiwe wachoyo mmegawa kwa Leceister ,liverpool ,mtugawie chelsea kisha fanyeni mtakavyo ona ,vijana wa kaputeni MAGWA na OLETUKURU
 
Mpaka msimu uliopita unaisha
Na manzoni mwa msimu hours ole alikua vizury sana greenwood akiwa moto sana lakn
Baada ya ronaldo kuja asee vitu vimechange
Japo sinaukika kama ronaldo anasababisha tusiposses mpira
Tabu timu inacheza Ili imlishe CR afunge, maana ni babu.
 
Back
Top Bottom