Ntalukwilasa
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 989
- 1,281
TayariLiverpool walimwondoa Mourinho mwaka 2018 mwezi wa 12 baada ya kumchabanga goli 3-1, je watamfukuzisha kazi mmasai Ole?
TayariLiverpool walimwondoa Mourinho mwaka 2018 mwezi wa 12 baada ya kumchabanga goli 3-1, je watamfukuzisha kazi mmasai Ole?
Daaah we acha tuLeo utalala kweli ?
Kosi la mavi haha yakunuk
Mpaka sasa magwaya anafanya makosa ya kijinga ila kocha aachi kumpanga.
Ally pipi kma nakuona ha haSijui kwanini naofu sana na game ya leo yani nikiiwaza tu moyo unaenda kasi sana yani.

Si unakosi la duniaHii mechi tunafungwa 4au 5.
Clean sheet haiwahusu hawaYani sijui man u wanachezaje bad performance kama ya Leicester city
Huwa nawaza sijui ana bifu gani na Beily.!!! Makosa ya Magwaya ni yaleyale kila mechi.Mpaka sasa magwaya anafanya makosa ya kijinga ila kocha aachi kumpanga.
Anachofanya ole ni Sawa tu na Gomez kumuacha nje Kennedy ...kitasa wa mipira ya juu na chini muda ambao anahitajika ......sijui huwa n ubaguzi ama ni nini shabbash.....Huwa nawaza sijui ana bifu gani na Beily.!!! Makosa ya Magwaya ni yaleyale kila mechi.
Kocha anaamini akiwa na waingereza kwenye timu kibarua kina kuwa safe kwasababu... Hataandamwa na wale class 92Ngoja tuone itavyo kuwa.