stewie
Senior Member
- Sep 30, 2019
- 118
- 284
pogba hakabi, hawezi jaza pressing players zaidi maana kuna bruno, greenwood, rashford, Ronaldo sasa Pogba alivo mzito ataeza kaba mtu kweli ulioa avyoanza na matic tukagongwa nne safi na Leicester... apo anaingiza pogba daika ya 60 huko azidishe playmakingOle is an idiot coach pogba unamuwekaje benchi game kama hii ?Manchester United spend a lot of Money to keep Sancho on the bench, nimeamini hakuna utofauti wa Ole na Arteta even Van de beek alikuwa na kiwango bora kabisa leo anaishia bench
, nimeamini hakuna utofauti wa Ole na Arteta even Van de beek alikuwa na kiwango bora kabisa leo anaishia bench
