Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,916
- 2,638
Wakimfukuza Hela ya kuvunja mkataba utazilipa wewe?Yani katika mabosi wajinga na wapumbavu ni wa Manchester yani mashabiki tumejaza hashtag za ole out lakini hawaelewi.
Wakimfukuza Hela ya kuvunja mkataba utazilipa wewe?Yani katika mabosi wajinga na wapumbavu ni wa Manchester yani mashabiki tumejaza hashtag za ole out lakini hawaelewi.
Man Utd haijawahi kukosa pesa ya kuvunja mkataba.Wakimfukuza Hela ya kuvunja mkataba utazilipa wewe?
Kama ole ataendelea kuwepo ,hakuna mabadiliko yatakayofanyika na unategemea kufanya vzuri mbeleni ,mkuu niseme tu hujielewi na akili hauna ,may be unaangalia mpira live score ,United ya Sasa haina uhakika hata wa kumfunga Brighton niamini Mimi ... ...Sijasema atafanya vizuri mwishoni.Ila UkwEli ndo huo.kufanya vibayaa mwanzooni ni vizuri zaidi kuliko kufanya kufanya vizuri mwanzoni na kuishia kuanguka.Maana yangu ni kwamba Kwa sababu Timu inafanya vibayaa Kwa Sasa na ukiangalia imefanya usajiri mkubwa msimu huu,Kocha ana presha na hiyo presha ndo itafanya kujiuliza shida ni Nini ya kufanya vibayaa,Means Yale makosa anayo hisi ndo chanzo Cha kufanya vibayaa atayashughulikia na mambo yataenda Sawa.
Asante,Kama ole ataendelea kuwepo ,hakuna mabadiliko yatakayofanyika na unategemea kufanya vzuri mbeleni ,mkuu niseme tu hujielewi na akili hauna ,may be unaangalia mpira live score ,United ya Sasa haina uhakika hata wa kumfunga Brighton niamini Mimi ... ...
Muda umeshasema kuwa ole ni kirusi ,lakini hicho kirusi bado kipo ,then bado unategemea miujiza ...
Mkuu bado unaamini ole ana uwezo kweli wa kushindana na klopp ,TT na pep kuchukua epl ????
Au unaimani gani hio mzee,ole sio kocha ,na huu msimu hatachukua kombe lolote ,atapigania kubaki top 4 na ndio itakuwa mafanikio yake .....
Mawazo y kimasikini.Wakimfukuza Hela ya kuvunja mkataba utazilipa wewe?
Hata Brighton wanatumia 3-4- kwenye build up play, leicester walitumia 3-2- vs united. Mikel & Ole's system 4-2-3-1 inaonekana kwa sasa haijaAdapt against team zinazobuild up na back 3Manchester utd ingekuwa inakaba kama Brighton,Ingekuwa mbali.Tatizo wanakaba Kwa kukimbia golini kwao na si kukaba Ili kupunguza mashambulizi kwenye goli lao,Yani wanakaba mtuu Ili atoe pasi na Siyo Kwa lengo la kupokonya mpira kutoka Kwa adui.Ndo maana unakuta Timu inacheza vizuri ikiwa na mpira ikinyanganywa TU inashambuliwa mpaka golini hapo ndo Kona zinatengenezwa na mabeki wa utd,faulo na penati.Kitu ambacho ni danger Kwa Timu kuruhusu mashambulizi
Neville yupo correct, imbalance and tactical issues inatokana na kuwa na two free players on the pitch, press haiwezi kuwa well structured, kama timu ina matatizo kwenye transition na haiwezi kukeep the ball lazima uumizwe tu kama Leicester walivyowafanya juziKipindi tunaperforn vibaya chini ya Mou....Gary neville na kikundi chake utawasikia
"There is too much quality there, its just the system of playing is not owky, the coach is not suitable for this team"
Haya Kikosi kile amepewa Ole na kuongezewa wachezaji kibao wazuri na wagharama, leo hii Gary anasema
"there is unbalance in the team when you look at Greenwood, Rashford, Sancho, Bruno, pogva and ronaldo"
Hasemi tena kocha sio mzuri.....hiyo ubalance ni kwasababu tunacheza mpira mgumu unaotegemea individual brilliance kuliko kucheza kitimu.....
hawa legends wa hii timu wakae mbali na timu wanachangia sana mwenendo mbovu wa hii timu......Naamini bila makelele ya Legends Ole asingepewa ule mkataba ila walipiga makelele akapewa.....
Mbna walikaa bench mechi ya everton na baada ya hapo wakasema you need to start your best playersNeville yupo correct, imbalance and tactical issues inatokana na kuwa na two free players on the pitch, press haiwezi kuwa well structured, kama timu ina matatizo kwenye transition na haiwezi kukeep the ball lazima uumizwe tu kama Leicester walivyowafanya juzi
Ole lazima aadapt roho ya paka kusave kibarua, Ronaldo/pogba mmoja akae nje.
hata kama hawataki kimfukuza kama matokeo yatakuwa mabaya itawalazimuMambo yatakaa Sawa TU,Hata yeye anaumiza Kichwa Kwa jinsi anavyo fanya vibayaa Kwa Sasa,Lazima anajiuliza anakosea wapi na Kwa mechi zinazo kuja Nina Imani atafanya improvement kutokana na makosa aliyo yaona,Maana Timu inapofungwa na yeye anaona na kunote kakosea wapi mpaka kufungwa.Wanaosema atafungwa mechi 6 mfululizo kuanzia Kwa Atalanta,sidhani. Kuna mechi atawin,atadraw na akilose ni chache Lakini Siyo sita.
Kuhusu kufukuzwa,juzi TU ndo kaongezewa mkataba mpya wa miaka mitatu na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja.Kama kawaida mkataba ukivunjwa kabla ya muda wa kocha Timu inapoteza Hela nyingi za kuvunja mkataba wake.
Sawa tajiri.Atafukuzwa tuu...Mawazo y kimasikini.
#bado tuna imani na Ole.
kwani tumeanza leo mbona hajashughulikia huko nyuma.Sijasema atafanya vizuri mwishoni.Ila UkwEli ndo huo.kufanya vibayaa mwanzooni ni vizuri zaidi kuliko kufanya kufanya vizuri mwanzoni na kuishia kuanguka.Maana yangu ni kwamba Kwa sababu Timu inafanya vibayaa Kwa Sasa na ukiangalia imefanya usajiri mkubwa msimu huu,Kocha ana presha na hiyo presha ndo itafanya kujiuliza shida ni Nini ya kufanya vibayaa,Means Yale makosa anayo hisi ndo chanzo Cha kufanya vibayaa atayashughulikia na mambo yataenda Sawa.
Ole anastahili lawama za kufa mtu tena hata kazi afukuzweHii timu Ili iendelee inabidi Ole aache kuwaogopa wachezaji wake, inabidi wawe accountable na makosa yao uwanjani awaseme au benchi liwahusu bila hivyo sioni tukitoka hapa wana errors nyingi za wazi na anacheka tu kima yule.
Yani ukiangalia uchezaji hata pasi unaweza kudhani leister ina world class players kuliko united.
Ligi iliyoisha bingwa manchester city alikuwa Ole alianza vibaya na kamaliza vibaya kipi kinakupa matumaini? Kuanzia dakika ya 60 mech ya leicester city timu ilivurugika vibaya sana na hakukuwa na jitihada za mbinu za kocha kuirudisha kuwa timu inayotafuta kitu alitulia tu ina maana hakuwa na ziada ile mech naifananisha na mech ya young boysSijasema atafanya vizuri mwishoni.Ila UkwEli ndo huo.kufanya vibayaa mwanzooni ni vizuri zaidi kuliko kufanya kufanya vizuri mwanzoni na kuishia kuanguka.Maana yangu ni kwamba Kwa sababu Timu inafanya vibayaa Kwa Sasa na ukiangalia imefanya usajiri mkubwa msimu huu,Kocha ana presha na hiyo presha ndo itafanya kujiuliza shida ni Nini ya kufanya vibayaa,Means Yale makosa anayo hisi ndo chanzo Cha kufanya vibayaa atayashughulikia na mambo yataenda Sawa.
Kinachoiponza hii timu ni wale vijana wa class of 92 wana midomo sana sio uongozi wala wamiliki kama watu wanatoa 80£ unawezaje kuwalaumu?Shida ya Manchester United ni wamiliki pamoja na uongozi mzima. Ole kama muajiriwa mwingine yoyote alipewa kazi ya kuisaidia timu kubeba mataji ila uwezo wake ndiyo umeishia hapo. Ole anatimiza majukumu yake ya kazi waliomuajiri ndiyo wana matatizo kuona mtu waliyempa kazi bado anafaa kuifanya hiyo kazi.
Hata Ole akifukuzwa bado shida ya United itabaki palepale, akija kocha mwingine akishindwa kuifikisha timu mahali bado tatizo litakuwa lilelile la kunga'ang'ania watu ambao sio sahihi.
Uwezo wa Ole ni mdogo ila yeye ndiyo ametutoa point C kwenda B ila kwa sasa tunahitaji sana mtu wa kututoa point B kwenda A. Kwa kikosi tulichonacho siyo timu ya kushindwa kushinda mechi kama ya Leicester ambao walianza ligi vibaya, haiwezekani kila timu tukikutana nayo inaoneka inacheza vizuri, haiwezekani kila mchezaji tunayemsajili akija kwetu ni average player.
Shida ya hii timu inaanzia juu, kuna shida mahali. Masuala ya kupeana kazi kwa u-legend ndiyo yanatu-cost. Pia kuwa wazuri sana kwa wachezaji kunatufanya tuwe timu dhaifu sana. Mifano hai ipo: Real Madrid ni klabu yenye mafanikio kwasababu mchezaji akishindwa kufanya vizuri anaonyeshwa mlango wa kutokea. Chelsea huwa hawajali ni kiasi gani watalipa kuvunja mkataba wa kocha, leo hii maamuzi ya Chelsea yameifanya klabu yao kurudi kwenye ramani.



Sure thing...Maguire hata akiwa fit zile blanda huwa anafanya sana wala tusijifiche hapa kwenye kichaka cha kutoka kwenye ugonjwa ndio sababu ya zile blanda......
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app