Bado hajafukuzwa tu
Kabisa yan
Wewe acha kulinganisha Chelsea na utopolo man United.Chelsea walimfukuza Lampard nahisi huyu naye atafukuzwa
Lampard pia yuko free 😂😂Walio free ni zidane na conte!!
Mashabiki wa Man U wana roho mbaya tena ya kichawi wanataka kumfukuzisha kazi baba wa watu. Ole Sendeka aendelee kuwepo mpaka atakapokufa.Mnataka wa mwandoe Ole,ili mwenzenu ale wapi naye ana familia, sisi majirani tupo nae bega kwa bega.
Kwenye ligi namaanisha
Niseme ukweli siku hizi nikimuona ole akiongea au akiwa benchi naona kinyaa sana.
Nilichanganya kidogo..Kwani zile nne zilikuwa za mashindano gani
Hakuna masar zaidi ya wa 4 hapo wengine wote ni overrated player'sTimu ina talents kubwa sana aisee..full of stars.
Kocha kashindwa kutengeneza balance,system of play,defending system na wachezaji kuwa na ari pamoja na umakini.
Ata Antonio Conte' pia sio mbaya akasuka mipango ya kunyanyua kwapa..hiki kikosi ni aibu kivurugike bila hata ya kikombe cha uji.