ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
Ameongezewa mkataba wa miaka 6 😅😅
Kwenye ligi namaanishaMkuu mbona ashatupiga 4 msimu uliopita palepale OT
Zizou hawezi kuchukua timu mbovu kama hii. Inahitaji miaka 10 kuitengeneza.Ole out...Zidane in.




Kipindi tunaperforn vibaya chini ya Mou....Gary neville na kikundi chake utawasikia
"There is too much quality there, its just the system of playing is not owky, the coach is not suitable for this team"
Haya Kikosi kile amepewa Ole na kuongezewa wachezaji kibao wazuri na wagharama, leo hii Gary anasema
"there is unbalance in the team when you look at Greenwood, Rashford, Sancho, Bruno, pogva and ronaldo"
Hasemi tena kocha sio mzuri.....hiyo ubalance ni kwasababu tunacheza mpira mgumu unaotegemea individual brilliance kuliko kucheza kitimu.....
hawa legends wa hii timu wakae mbali na timu wanachangia sana mwenendo mbovu wa hii timu......Naamini bila makelele ya Legends Ole asingepewa ule mkataba ila walipiga makelele akapewa.....
Mkuu Ole sio kama haoni huu udhaifu, hapana anaona ila anashindwa kusolve.....Tatizo kubwa ni pale tunapokuwa hatuna mpira hakuna wachezaji wa kutafuta mipira.
Jana nilipoona Matic na Pogba nikajua tumekwisha.LC walistahili kushinda Sijui kwanini Ole haoni huu udhaifu.
Hata tukiwa nao tunaufanyia nini ikiwa pasi za kwenda mbele 5 zinatushinda?Tatizo kubwa ni pale tunapokuwa hatuna mpira hakuna wachezaji wa kutafuta mipira.
Jana nilipoona Matic na Pogba nikajua tumekwisha.LC walistahili kushinda Sijui kwanini Ole haoni huu udhaifu.
Hata tukiwa nao tunaufanyia nini ikiwa pasi za kwenda mbele 5 zinatushinda?
Luis Enrique ni kocha mzuri sana na anacheza soka la kisasa sana mbona..... Mimi top 3 yangu ni
1 Luis enrique
2 Hans Flick
3 Conte
Yani una maanisha umesukumiziwa bomba ngapi? Ungekua na akili wasinge kusukumizia!!Ww ndio huna akili ndio maana wamesukumizia bomba 4 bata maji ww