Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole anastahili lawama za kufa mtu tena hata kazi afukuzwe

Erick bailly mzima unachezeshaje friji maguire katoka kuumwa?

Nilitegemea bailly acheze na victor

Huyu greenwood ni mchezaj mzur ila kumpa dakika 90 ni nyingi sana kwanza mbinafsi ni heri wangegawana na lingard angeanza jessey huwa napenda sana greenwood akiingia kipind cha pili na huwa anafanya vizur

Shaw sijui nani alitudanganya bek mzur kwangu bado sana pamoja na takwimu za kutengeneza mashambuliz anazo nzur ila huwa anachomesha sana

Sasa yule mholanzi kanunuliwa wa nini?

Pogba ukimshusha CDM lazima tuyumbe kocha anamshusha pale

Ana Bruno,Pogb na Ronaldo plus ka greenwood hao wote hamna wa kukaba kwa nini usipigwe?

Muda wote kumtesa bissaka,de gea na lindelof yule maguire katoka kuumwa alikuwa hawez kufanya lolote

Ukiangalia goli alilofunga Daka mzambia frij maguire anamuangalia tu na kocha lipo limekaa bench kenge kabisa

Kuna mistake Lukaku aliifanya inter conte alimuita alimkata biti la maana sasa yule super sub anachekacheka tu mech zote rahisi kaangusha point anategemea kuamka kwa manchester city?

Manchester city,, liverpool na chelsea wanacheza mpira wa kiume na ukianza kuangalia unatamani mech iendelee
Mshangao wangu ulikuja baada ya kuona Maguire karudi second half nikasema Ole muoga sana wa maamuzi.

kama anavyoogopa timu pinzani kwa kuweka timu yake nyuma ndo anavyoogopa kuwakera wachezaji wake, ilibidi aende nje mapema sana maana alishaonyesha kwamba hayuko fit kabisa yani tunatia huruma.
 
Kwanza kocha wetu ananishangaza sana timu inayoruhusu goli kila mech kisha ndio inakuwa timu ya kwanza ni dhahiri hamna upeo hapo binafsi tu inanipa shida je mhusika mwenyewe inakuwaje?

Conte akiwa chelsea walienda mech nne mfululizo wakiruhusu magoli alibadili mfumo chap ukawa ukuta mgumu sana ole kila mech GG kawaida sana hiyo timu gani?

Kashindwa kumtumia Telles na DVB ujio wa Varane nilitegemea hata angajaribu kumtumia na bailly ndio kwanza kakomaa na mtoto wa nyumban muingereza
sasa hivi tunabeti GG zetu uhakika unatia mzigo Ole shwaini
 
1634580850808.png
 
Hata Brighton wanatumia 3-4- kwenye build up play, leicester walitumia 3-2- vs united. Mikel & Ole's system 4-2-3-1 inaonekana kwa sasa haijaAdapt against team zinazobuild up na back 3
Ronaldo na Maguire kwenye mechi ya Leceister ndiyo waliotucost.

Ronaldo alikuwa hafanyi pressing na alipoanza kufanya pressing ni kama akafungua passing lanes za uwanja mzima Leceister wakawatawala Pogba na Matic.

Maguire hakuwa na game fitness so ni kama tulikuwa pungufu uwanjani alifanya two individual errors tukafungwa goli la kwanza na goli la nne.
 
Back
Top Bottom