buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Ndio yaani kichefuchefuUwe unafunga macho ukiona TV inamuelekea hahaha
Ndio yaani kichefuchefuUwe unafunga macho ukiona TV inamuelekea hahaha
Wote hatumtaki Ole saiv.....This Ole, kuna baadhi wanadhani hili tatizo limeanza hivi karibuni, na nimeona tayari kuna watu wanataka kumzingizia Ronaldo etu kafrustrate development curve.
Mkumbuke Ole alipokuja tu alianza story za kutaka kurudisha enzi za fergie, eti enzi za fergie man u ilikuwa ina attack attack attack, alikuwa kwenye hotuba zake lazima amtahe ferggie, nadhani hapo katikati watu walimstua kwamba anazingua akaacha.
Majuzi tena,timu ilipokuwa inasawazisha ama kupata ushindi dakika za mwisho mwisho, akaanza kudai ooh fergie time are back etc etc, akastuliwa tena akaacha.
sasa huyu kocha ni kwamba hajitambui, yaani hana personal identity, hana self ambitions, he is so much in the old fergie days hata anashindwa kutambua kwamba kwa hali ilivyo sasa hata fergie angekuwapo angekuwa challenged vibaya sana na hawa akina klopp, achilia mbali kwamba Morinyo mwenyewe alimkarakasha kwelikweli fergie.
hivyo huyu bwana, tatizo halianzii kwenye technical know how, I can imagine anawaambia wachezaji wake, say Ronaldo nataka uwe shapu kama kipindi kile mko na rooney, hivi wachezaji wengine wanajisikiaje? sababu huyu mjinga namna akili zake zimeishia kwenye historia ya ferggie vile hamsemisemi nadhani anajizuia tu kwenye media ila akiwa na wachezaji wake huyu mtu anaonekana ni mtu anakatisha tamaa sana wachezaji wake.
Kwa Liverpool lazima packet mbili za dume zitumikeMpaka sasa Man u hajakutana na Chelsea, Liverpool, Man City, Tot ham na Arsenal.
bado
kaskilize hiyoobado
Kwa hiyo man utd atafanya vizuri mwishonKipii bora,kufanya vizuri mwanzo na kumaliza vibayaa mwishoni Au kufanya vibaya Mwanzo na kumaliza vizuri mwishoni!





Ndugu, hii ni imani au scientific? Ole afukuzwe aje kocha mwingine ili timu ijengwe ktk mfumo wa uchezaji unaoelewekaKipii bora,kufanya vizuri mwanzo na kumaliza vibayaa mwishoni Au kufanya vibaya Mwanzo na kumaliza vizuri mwishoni!
Mambo yatakaa Sawa TU,Hata yeye anaumiza Kichwa Kwa jinsi anavyo fanya vibayaa Kwa Sasa,Lazima anajiuliza anakosea wapi na Kwa mechi zinazo kuja Nina Imani atafanya improvement kutokana na makosa aliyo yaona,Maana Timu inapofungwa na yeye anaona na kunote kakosea wapi mpaka kufungwa.Wanaosema atafungwa mechi 6 mfululizo kuanzia Kwa Atalanta,sidhani. Kuna mechi atawin,atadraw na akilose ni chache Lakini Siyo sita.Ndugu, hii ni imani au scientific? Ole afukuzwe aje kocha mwingine ili timu ijengwe ktk mfumo wa uchezaji unaoeleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiwa ureno anapiga magoli kila siku.Ronaldo anahitaji support kubwa umri umeshamweka kando limebaki jina.
Sijasema atafanya vizuri mwishoni.Ila UkwEli ndo huo.kufanya vibayaa mwanzooni ni vizuri zaidi kuliko kufanya kufanya vizuri mwanzoni na kuishia kuanguka.Maana yangu ni kwamba Kwa sababu Timu inafanya vibayaa Kwa Sasa na ukiangalia imefanya usajiri mkubwa msimu huu,Kocha ana presha na hiyo presha ndo itafanya kujiuliza shida ni Nini ya kufanya vibayaa,Means Yale makosa anayo hisi ndo chanzo Cha kufanya vibayaa atayashughulikia na mambo yataenda Sawa.Kwa hiyo man utd atafanya vizuri mwishon![]()
Pundits wa kingereza ni watupu vichwani.Kipindi tunaperforn vibaya chini ya Mou....Gary neville na kikundi chake utawasikia
"There is too much quality there, its just the system of playing is not owky, the coach is not suitable for this team"
Haya Kikosi kile amepewa Ole na kuongezewa wachezaji kibao wazuri na wagharama, leo hii Gary anasema
"there is unbalance in the team when you look at Greenwood, Rashford, Sancho, Bruno, pogva and ronaldo"
Hasemi tena kocha sio mzuri.....hiyo ubalance ni kwasababu tunacheza mpira mgumu unaotegemea individual brilliance kuliko kucheza kitimu.....
hawa legends wa hii timu wakae mbali na timu wanachangia sana mwenendo mbovu wa hii timu......Naamini bila makelele ya Legends Ole asingepewa ule mkataba ila walipiga makelele akapewa.....
Manchester utd ingekuwa inakaba kama Brighton,Ingekuwa mbali.Tatizo wanakaba Kwa kukimbia golini kwao na si kukaba Ili kupunguza mashambulizi kwenye goli lao,Yani wanakaba mtuu Ili atoe pasi na Siyo Kwa lengo la kupokonya mpira kutoka Kwa adui.Ndo maana unakuta Timu inacheza vizuri ikiwa na mpira ikinyanganywa TU inashambuliwa mpaka golini hapo ndo Kona zinatengenezwa na mabeki wa utd,faulo na penati.Kitu ambacho ni danger Kwa Timu kuruhusu mashambuliziRonaldo collapsed Ole's rebuild, United imekuwa na Ronaldo na Pogba wachezaji wawili walio free na wanaleta ugumu kwa ole kuimpliment his system, unaweza kuona namna Leicester alivyoattack kirahisi leo, sijui against Liverpool ya Salah itakuaje!