Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi naendelea kujifariji kwamba as long as Board imesema iko nyuma ya OLE na haina mpango wa kum FIRE, at least wamezungumzia swala la KUMFIRE.

I think that is an okay direction for me.
 
Screenshot_20211016-200215_Twitter.jpg
 
Kabla ya meshi OLE kasema Maguire hakupata muda wa mazoezi baada ya kupona, sio hakupata muda wa kutosha, HAKUPATA MUDA. Alafu akasema kumpanga ni tough decision amefanya.
But Erick baily alikuwepo pale nje, kwanini kamlazimisha Maguire kucheza?
Kama angeanza baily na tukapata haya matokeo tusingemlaumu ole kumuacha Maguire kwa sababu tunajua hajapona vizuri au kama kapona Hajapata muda wa kufanya mazoezi na timu.
 
Mimi naendelea kujifariji kwamba as long as Board imesema iko nyuma ya OLE na haina mpango wa kum FIRE, at least wamezungumzia swala la KUMFIRE.

I think that is an okay direction for me.
KUMFiRE au kumfiraaa
 
Yani Sancho kama sio yule ... Kama sio yule aisee aliyekuwa anacheza Dortmund.

Ukimlinganisha Pogba aliyecheza UEFA NATIONS LEAGUE na huyu, ni kama vile hawajahi kukutana. Yani hawajuani kabisa.
Hv kuna mchezaji yeyote aliyetoka dortmund akaja kushine man u?

Shinji kagawa holla

Henrick mkhitaryan holla

Hata huyu sanchoka holla
 
Kocha msimu wa 4 huu kama sikisei bdo tu anajenga timu?klopp alihitaji misimu 2 tu kuijenga liverpool
Liver ina wachezaj wa kawaida sana ukilinganisha na Man utd,yet liva wapo wanatuacha mbali sana

Ukocha m nadhani ni kama uwezo tu darasani..kuna makocha ni wazuri sana na wengine ni average..ole ni beyond average kwa kweli

Huyu akipewa timu kama leeds ataishusha daraja
 
Ronaldo collapsed Ole's rebuild, United imekuwa na Ronaldo na Pogba wachezaji wawili walio free na wanaleta ugumu kwa ole kuimpliment his system, unaweza kuona namna Leicester alivyoattack kirahisi leo, sijui against Liverpool ya Salah itakuaje!
 
Hovyo hovyo kabisaaa. Yani tukubali man u ya sasa kuanzia uongozi, wachezaji na manager wote hawana uchungu na kuipigania timu.
 
He has to go before the Liverpool game. It’s getting ridiculous. World class players playing like an uncoached Sunday league team.

the goal for 3-2 says everything. Shambolic.

De Gea licha ya kupigwa goli 4 bado yeye ndo Man of the Match kwetu,hii inaonyesha ni kiasi gani hii timu inacheza utopolo.

Ole has to go now.
 
Back
Top Bottom