Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ronaldo na Pogba wakiwemo team inacheza kama tuna upungufu wa wawili.

Ole huwezi kuwachezesha wachezaji wawili ambao hawana majukumu ya kuisaidia team hasa inapokuwa haina mpira.
 
Ronaldo na Pogba wakiwemo team inacheza kama tuna upungufu wa wawili.

Ole huwezi kuwachezesha wachezaji wawili ambao hawana majukumu ya kuisaidia team hasa inapokuwa haina mpira.
Ronaldo mtoe hapo kwenye hilo kundi, yeye ni finisher ambaye kazi yake ni kumalizia na kurekebisha makosa ya fowadi yaliyokuwa yanatu cost huko nyuma na co kukaba, shida ni kwamba timu nzima haichezi vzr, huyu ronaldo kama angeenda City mpk ss angekuwa mbali sn kimagoli.
 
Yule mzee wa kireno pale mbele leo katumia nyavuni goli ngap????hii ndio manjesta halisi Sasa
 
baada ya kuona ubao unasoma Leicester 4 man u 2
FB_IMG_1634409950660.jpg
 
MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED MANYUMBU UNITED
 
Ronaldo mtoe hapo kwenye hilo kundi, yeye ni finisher ambaye kazi yake ni kumalizia na kurekebisha makosa ya fowadi yaliyokuwa yanatu cost huko nyuma na co kukaba, shida ni kwamba timu nzima haichezi vzr, huyu ronaldo kama angeenda City mpk ss angekuwa mbali sn kimagoli.

Ronaldo anahitaji support kubwa umri umeshamweka kando limebaki jina.
 
Pogba katupa jiwe gizani sio something angetaja tu benchi la ufundi libadilike simple..

Yani mpaka yeye ameona kila siku tunafanya makosa hayo hayo na hayafanyiwi kazi sasa kazi ya kocha nini au anaangalia mpira kama Playstation haangalii wapi pa kutengeneza.

So far wachezaji pia wameanza kumchoka inaonesha hamna anachowaongezea kwenye carrier yao yeye kama kocha.
20211016_215440.jpg
20211016_215406.jpg
 
He has to go before the Liverpool game. It’s getting ridiculous. World class players playing like an uncoached Sunday league team.

the goal for 3-2 says everything. Shambolic.

De Gea licha ya kupigwa goli 4 bado yeye ndo Man of the Match kwetu,hii inaonyesha ni kiasi gani hii timu inacheza utopolo.

Ole has to go now.
Pole Mangi. Nakungoja next Sunday.
 
Yani Sancho kawa Sanchoka Ronaldo kawa Rihhana Varane kawa Vera sidika yani tafrani, mda mwingine pogba tunamuonea tu akitaka kusepa maana makombe anapata national team tu huku anaishia kuyaangalia tu.
 
eti ronaldo na pogba hawatakiwi kuanza kwa pamoja?🤣

wachambuzi njaaa bana,

hivi kwa uchezaji ule unataka pogba apige chenga timu nzima afunge na akabe kama aturo vidal? ronaldo wakati anasajiliwa mliambiwa anakuja kukaba?


kwa kifupi, tactically ole yuko chini sana ukilinganisha na kikosi alichonacho

imagine, lampard alisajili kikosi kikubwa sana af akawa anataka kushuka nacho daraja et hawajazoeana, as if mchezaj akiwa timu nyingine anatumia mpira wa pembe nne akienda chelsea anakuta wa duara, timu akapewa tuchel msimu huo huo akabeba ndoo

sioni sababu ya ole kuendelea kuwepo man u, ni kutuaibisha sisi mashabiki wa man u dunia nzima
 
Back
Top Bottom