Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawa commentators wanavyojiongelesha....

Hawajui kwamba, winning ugly is Man United style

Mambo ya kuwa eti United aren't at their best today, ni ishara ya kwamba haifahamu United

john champion huwa hakosei hata siku moja naona umekiamin alichokuwa anasema
 
Dah! Ukisikia kunyangwa tonge mdomoni, ndiyo hii....

Heko kwa Cardiff, walicheza kwa jihadi sana....wamestahili kupata droo....

Hii mipira ya set pieces, inasumbua sana United sasa.....

Anyway.....still hanging ther....10 unbeaten games in all competitions....

#GGMU

Haya original #mburukenge mwakigeni hapa...

point of correction mkuu, cardif hakucheza kwa kukamia ila nyie ndo mlikamia game coz wao walicheza offensive na nyie defensive
 
hebu kubali kuwa FAG ndio coach mpaka sasa na ole wenu angelikuwa huyu babu hayupo tungelikuwa tunawasikiliza kwenye radio sasa hivi
Jitahidini ligi bado ngumu musikonde
Babu bado anatia jalamba kule ndani kutisha marefa
Last summer David aliangushwa na Ed, Executive Vice President wa United. Jamaa alikuwa hana uzoefu na siasa za usajili....

January hatorudia makosa tena.....na keshasema, katika usajili anataka kuwa na project ya muda mrefu....hivyo hatosajili vikongwe, bali vijana ili aandae hiyo project yake....
 
Bado nitaendelea kuikumbuka kauli yaMWANAJAMII MMOJA HAPA kuwa lazima Man U, Msimu huu itateremka DARAJA.
 
Nyie mnajua kuwakamia Asenyani tu. Na wiki ijayo mnakutana na hasira za Spurs then Everton katikati ya wiki atakuja kuwakanyaga hapo hapo Old Toilet...Chezea Kim Bo wewe
 
Hawa commentators wanavyojiongelesha....

Hawajui kwamba, winning ugly is Man United style

Mambo ya kuwa eti United aren't at their best today, ni ishara ya kwamba haifahamu United

Kweli kabisa haaifahamu United hata kidogo sijui ni Commentators wa namna gani hawa??
 
Still the same problem kwa Moyes,anamuingiza Giggs kufanya nini,Cleverley na Felaini ndio wameuza timu.Tunahitaji kununua viungo Januari

Giggs ni Kocha So yeye hapangwi wewe anajipanga mwenyewe.
Kumbuka mkubwa hapangwi mkuu.
Hahahahahahahahaha Hatari saana! Naona sa hivi mnaanza kumkana Filauni wakati mlisherehekea ujio wake. Hahahahahahahahahahahahahahahahaha.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
mwaka mbaya huu, sina pressure kwasababu nilishajiandaa toka mwanzo wa msimu, ilimradi tusikose nafasi nne za juu.

Bado tuna Opportunity nzuri tu gap la walio juu si kubwa sana, December inawezekana kabisa kufuta gap lililopo sasa hasa kipindi ambacho timu za juu zinakutana zenyewe kwa zenyewe
 
Bado tuna Opportunity nzuri tu gap la walio juu si kubwa sana, December inawezekana kabisa kufuta gap lililopo sasa hasa kipindi ambacho timu za juu zinakutana zenyewe kwa zenyewe

Hili lingewezekana kama msingekuwa mnadrop points kirahisi kama mnavyofanya....
Timu haitabiriki hii....Sijawahi kuona United ukiwa na tatizo la Viungo kama jana....
 
images
 
88th min....Fellaini is the MOTM today for United....

Still the same problem kwa Moyes,anamuingiza Giggs kufanya nini,Cleverley na Felaini ndio wameuza timu.Tunahitaji kununua viungo Januari

Kweli....uzuri kuna back room staffs wawili wamekuja katika kitengo cha usajili....nafikiri hiyo ni ishara nzuri kwamba David hakufurahishwa na mambo ya summer.....

MOTM ameuza timu tena? Inakuwaje hapo?!!!!
 
mwaka mbaya huu, sina pressure kwasababu nilishajiandaa toka mwanzo wa msimu, ilimradi tusikose nafasi nne za juu.

Nilikuwa na mawazo kama wewe but sioni timu ambayo ni serious title contender still ManCity,Chelsea,Liverpool,Arsenal na ManUnited kama ikiamka inaweza kuchukua ubingwa.
ManCity-foward yao iko vizuri sana lakini defence yao mbovu na wakipata majeruhi ya wachezaji 2 au 3(Kompany,Toure,Silva) wanayumba sana na wakienda ugenini utafikiri ni timu nyingine

Liverpool-Walianza vizuri sana defence yao ilikuwa ndio ilikuwa silaha yao now defence yao imekuwa mbovu sana nashangaa KoloToure siku hizi hachezi na bado wanahitaji kiuongo wa kumsaidia Coutinho

Arsenal-Walianza vizuri na msimu huu wanajituma sana naona now kasi yao imepungua na still wakipata majeruhi wachezaji 2 au 3 watapata tabu na bado hawajacheza na Chelsea na ManCity

Chelsea-
Hii ndio timu niliyokuwa naiogopa lakini so far hakuna la kutisha Mourinho alilofanya labda msimu ujao ndio watakuwa hatari.
 
Back
Top Bottom