Nilikuwa na mawazo kama wewe but sioni timu ambayo ni serious title contender still ManCity,Chelsea,Liverpool,Arsenal na ManUnited kama ikiamka inaweza kuchukua ubingwa.
ManCity-foward yao iko vizuri sana lakini defence yao mbovu na wakipata majeruhi ya wachezaji 2 au 3(Kompany,Toure,Silva) wanayumba sana na wakienda ugenini utafikiri ni timu nyingine
Liverpool-Walianza vizuri sana defence yao ilikuwa ndio ilikuwa silaha yao now defence yao imekuwa mbovu sana nashangaa KoloToure siku hizi hachezi na bado wanahitaji kiuongo wa kumsaidia Coutinho
Arsenal-Walianza vizuri na msimu huu wanajituma sana naona now kasi yao imepungua na still wakipata majeruhi wachezaji 2 au 3 watapata tabu na bado hawajacheza na Chelsea na ManCity
Chelsea-Hii ndio timu niliyokuwa naiogopa lakini so far hakuna la kutisha Mourinho alilofanya labda msimu ujao ndio watakuwa hatari.