Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
nikiwa mzigoni huwa ninarecord gemu nikipata nafasi huiangalia
siku ya Alhamisi na Ijumaa huwa napenda kuomba off kazini lakini inategemea na kazi
Sikatai kuwa munatufunga lakini timu kimeo safari hii nyinyi mumeweka tusifungwe na Arsenal mwambie Babu asidanganye eti kufundisha na kupanga timu kwa Moye remote
Lini tuliweka tufungwe na Arsenal? Why na nyie mnakubali kufungwa nasi kila siku,mbona Cardif,WestBrom au Southmpton hawajakubali tuwafunge