timu imekuwa kimeo hii, inatafuta upepo imekuwa kama ngalawa kutizama upepo unavumia wapi majanga matupu
Utakufa kwa Pressure wewe, sipati picha hapo ulipo una hali gani maana pressure yako iko juu sana kutaka Man Utd ifungwe
Fellain is bossing the middle like none....62nd min
Utakufa kwa Pressure wewe, sipati picha hapo ulipo una hali gani maana pressure yako iko juu sana kutaka Man Utd ifungwe
Hata akiuzwa pound million 3 hakuna anaemtaka, anakera sana
Pilipili ya shamba yakuwashia nini?!?
enheee naona mnajitutumua baana..
Mnarudi kwenye nafasi yenu mnayoistahili....