Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,519
- 7,287
Nahisi Mbuzi choma imegeuka jivu kwa kuungua!!ha ha ha ha ha! wakati mbuzi choma ikisubiriwaa!!
Nahisi Mbuzi choma imegeuka jivu kwa kuungua!!ha ha ha ha ha! wakati mbuzi choma ikisubiriwaa!!
teh teh teh sijui hapa nzi ana hali gani..
Nzi umekimbilia choo cha shimo??? Hatukuoni ?? Ngazi ya mpaka rangi lazima ushuke furahia Masister united walikuwa nafasi ya 4 kwa dk 80 hihihi THE CHOSEN ONE.Hahahahaha....wenzao wanazidi kupanda wao wanazidi kushuka!!
hebu mtafute asije kujitundika,
nimemuuliza mwanzo vipi leo mutatoka sikupata jibu, sasa nimeamini hii timu kimeo Belo vipi leo?nilikwambia ubingwa wenu ni kuifunga Arsenal iliyobaki muangalie upepo unavumia wapi?
Ligi ngumu safari hii
Dah! Ukisikia kunyangwa tonge mdomoni, ndiyo hii....
Heko kwa Cardiff, walicheza kwa jihadi sana....wamestahili kupata droo....
Hii mipira ya set pieces, inasumbua sana United sasa.....
Anyway.....still hanging ther....10 unbeaten games in all competitions....
#GGMU
Haya original #mburukenge mwakigeni hapa...
hebu mtafute asije kujitundika,
nimemuuliza mwanzo vipi leo mutatoka sikupata jibu, sasa nimeamini hii timu kimeo Belo vipi leo?nilikwambia ubingwa wenu ni kuifunga Arsenal iliyobaki muangalie upepo unavumia wapi?
Ligi ngumu safari hii
Ndugu yangu Nzi kila siku nakwambia usimcheke mwenzako mapema subiri game yako pia iishe EPL ngumu sio La Liga mtu unatizama Real au Barca unajuwa Kabisa Leo wanaishinda sio chini ya 5 ligi EPL itabadilika muda Wowote ule hata wachini Kabisa anaweza kutoka chini na wajuu kushuka sana ndio raha ya EPL.
Wenzako wanakwambia wanapata mbuzi choma wewe unawajibu--------. Mbuzi anageuka majivu.Nahisi Mbuzi choma imegeuka jivu kwa kuungua!!
Still the same problem kwa Moyes,anamuingiza Giggs kufanya nini,Cleverley na Felaini ndio wameuza timu.Tunahitaji kununua viungo Januari
Mie nafikiri Moyes kachaguliwa sababu Miezi ya kusign Kama hapewi pesa huwa halalamiki sio sawa na wengine Morinho angekuwa kashatafuta sababu nafikiri January kweli atanunuwa ila for right player sio wakukimbilia Hilo ndio nampa kidogo heshima mtu Kama moyes , watu Kama Sir Alex angepata tabu na Morinho na Sir Alex bado ana run team ushahidi anavyosafiri na timu away games.Kweli....uzuri kuna back room staffs wawili wamekuja katika kitengo cha usajili....nafikiri hiyo ni ishara nzuri kwamba David hakufurahishwa na mambo ya summer.....
Mie nafikiri Moyes kachaguliwa sababu Miezi ya kusign Kama hapewi pesa huwa halalamiki sio sawa na wengine Morinho angekuwa kashatafuta sababu nafikiri January kweli atanunuwa ila for right player sio wakukimbilia Hilo ndio nampa kidogo heshima mtu Kama moyes , watu Kama Sir Alex angepata tabu na Morinho na Sir Alex bado ana run team ushahidi anavyosafiri na timu away games.
Hawa wetu mbona....
[COLOR=#800000][SIZE=4][FONT=book antiqua]Whistling
.![/FONT][/SIZE][/COLOR]
Still the same problem kwa Moyes,anamuingiza Giggs kufanya nini,Cleverley na Felaini ndio wameuza timu.Tunahitaji kununua viungo Januari