Umemuweka kwenye fantasy?Comment ina mantiki hii.....Japo BF kukosa penalt imeniuma zaidi ya kupoteza game
Umemuweka kwenye fantasy?Comment ina mantiki hii.....Japo BF kukosa penalt imeniuma zaidi ya kupoteza game
Hao Pundits wa kingereza ni ma.ta.ko tu.Evra ndio legend pekee aliyefungua mdomo juu ya uwezo mdogo wa Ole last season... Nasubiri kina Neville, Kean, na Scholes wataongea nini kuanzia sasa.
Kiufupi, Ole Sabaya uwezo umeishia hapa. Afurushwe kesho asubuhi kabla sijaenda jogging
Pole mangi.Usenge mtupu...mpira mwepesi kwenye EPL hii hauna nafasi..Fukuza huyu Ole
Naona kabisa kuna jambo, hata wachezaji wamecheza kichovu sanaMkuu ukiangalia body language ya mechi ya leo na Bruno kukosa penalty vile hauhisi kitu chochote?
Ole ashasema haongopi kufukuzwa, cc ndo tunachelewa....wachezaji wana mgomo na ronaldo ndo kiongozi wa kmya kmya ndo mana alinyimwa pass nying na dogo lkn hajalalamika, penalty kakataa, na amini amini nakwambia OLE hatunae tenaPole mangi.
Wakati wa Mourinho Rio Ferdinand alikuwa anagombana kabisa timu ikifanya vibaya, sijui siku hizi kapotelea wapi.
Mkeka Mkuu.....niliweka GG, pia napenda Bruno akifunga maana namuona ndio mchezaji wetu muhimu sanaUmemuweka kwenye fantasy?
Doh ebwana hapo kweliMkeka Mkuu.....niliweka GG, pia napenda Bruno akifunga maana namuona ndio mchezaji wetu muhimu sana
Chief Mkwawa kakusikia, ngoja aje na takwimu zake hapa alizopewa nazo bakshihi na Ole ili amteteeUsenge mtupu...mpira mwepesi kwenye EPL hii hauna nafasi..Fukuza huyu Ole
