D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
wasiwasi wangu tulivyoanza mechi ya west ham ugenini ndivyo tutakavyoanza kesho.McTominay Pogba
namuona sancho akianzia benchi na nafasi yake kuchukuliwa na pogba
fred na scott kuanza pamoja eneo la midfield.


