Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Tushinde hii mechi asee isitufanyie hivi hii timu.
Kwann asijaribu 4-3-3? Aligelezea kwa nani hii fomesheni?
Hatuna kocha hapaKwann asijaribu 4-3-3? Aligelezea kwa nani hii fomesheni?
Dogo anacheza kijinga Sana... Halafu kocha hata hamkemei..Greenwood anatutaka nini leo!?
Shida ya hawa madogo wakisifiwa kidogo wanajiona masuper star.Greenwood amekuwa mbinafsi Sana
Ole Juju.Yaani jamaa yy na kipa anataka kushoot msuli unakaza anateleza........ mna kamati ya ufundi kama zile zetu.
Yes surely bro😂🤣😂🤣 tulia wewe nyumbu mwekunduKiwango chako cha kujielewa ni kidogo sana.
Ni maoni yangu tu
😀😀😀😀Ole Juju.