Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole Gunnar Solskjaer has urged his Manchester United players to bare their teeth from the first whistle, starting with Saturday’s lunchtime kick-off against Aston Villa in the Premier League.

huyu jamaa msanii sana.
 
Kwa kweli zile shots nyingi zilipigwa nje ya box la hammers baada ya kukosa mbinu za kupenya ngome yao.
Kiufupi tulikwama kuifungua defense ya westham kwa mbinu tulizokuja nazo uwanjani.
Hata ile mechi ya juma pili tulikuwa na shot on target nyingi, nadhani msimu huu tunaweza tukaongoza hilo eneo.
 
Mda mwingine Labile tunamuonea tu akitaka kusepa, ila kwa hali hii anajiona anamaliza carrier yake hana champions league wala EPL ndo anapopata moto wa kusepa.
Sasa bwana Mzee Ronaldo huyu ndo hali ikiendelea hivi anaweza omba uhamisho next season maana yeye anafukuzia record tu akiona hapa apeche alolo anachanganya mbaliga.

Hivi wale Aston Villa sijui asee maana ni wamoto hasa ngoja tuone hiyo weekend kama wachezaji wamepata moto au bado wamepoa.
 
Watatupooza kwa ushindi

Hii timu ni mwendo wa high na low kuja kutahamaki msimu umeisha tumeambulia nafasi ya pili.....
 
1632431859493.png
 
sisi wengine tuko pemba na tayari tumeshafahamu ya kwamba huyu bwana hatotupeleka popote kwa ubora mdogo alionao ukilinganisha viungo wengine hususani wa timu pinzani,

Ole asituletee mapenzi ya kijinga, kama ana hamu ya kutukuzwa na waingereza basi asajili na mshambuliaji wa kiengereza na si kumng'ang'ania haaland.

pia amuondoe pogba then amsajili mcginn wa aston villa

midfield gani huyu asiyeweza kutembea hata na mpira kwa kujiamini, kazidiwa hata na scott kwa progressive passes
1632432150772.png
 
Back
Top Bottom