The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kosi la dunia [emoji116][emoji116]
Sema kocha wa mbao fc
Sema kocha wa mbao fc
Hadi msimu uliopita nafikiri mlikuwa na magoli mengi. Kuliko timu yoyote... Na mlichukua makombe gani Kwan?[emoji23]Dalili ya bingwa ni magoli anayofunga yanazidi timu nyingine yoyote.
Tulieni kombe laja musimu huuView attachment 1945049
[emoji23][emoji23] la UjiHadi msimu uliopita nafikiri mlikuwa na magoli mengi. Kuliko timu yoyote... Na mlichukua makombe gani Kwan?[emoji23]
Nashukuru mkuu! Nipo safarini nmefanikiwa kuangalia dkk 30 za mwishoLive Football TV
Karibu sana mkuu.Nashukuru mkuu! Nipo safarini nmefanikiwa kuangalia dkk 30 za mwisho
Unafikiriiiiiiiiiii????Hadi msimu uliopita nafikiri mlikuwa na magoli mengi. Kuliko timu yoyote... Na mlichukua makombe gani Kwan?[emoji23]
Thanks kwa ushauri mkuuKaribu sana mkuu.
Ila nikushauri kitu kimoja.
Tafuta simu za Samsung pale juu kwenye notification bar kuna mojawapo inaitwa SMART VIEW kisha tafuta smart tv ya Samsung utakuwa unaangalia mpira saaafi bila kujisumbua na Dstv.
Yaani Mb zako tu
ndio hiiilLive Football TV