kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,237
- 17,675
Moya moyaMatokeo yakoje huko jamani.
Moya moyaMatokeo yakoje huko jamani.
NdiyoKwahy tumekubaliana Ronaldo ndie mchezaji mwenye uwezo wa wachezaji wote wa man U.?
Ile ya Man City sikuelewa, Walker anaonekana wazi kumwangusha mtu ila VAR ikaonyesha kuwa hakuna faulu.VAR kwa EPL ni usanii mtupu, Southampton jana walinyimwa penati dhahiri kabisa kule Etihad dhidi ya Man City.
Usishangae Man Utd kubebwa ni kawaida sana, ombea tu nawe Liverpool yako ibebwe penye ulazima.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Ulitaka afanyeje?Mnamuelewa Ole?
Timu inachezwa hivyo. Hamna intensity kabisa yaani.Mnamuelewa Ole?
Ed WoodwardNani ana mamlaka ya kumvukuza Ole?
Na Maguire bado hafiti kuwa team Captain
AondokeUlitaka afanyeje?
Jamaa hasira za UEFA kaziamishia hapaLingard goal