Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii game mnakalia
Msimu huu tutakuwa tunashinda ushindi ambao unawaacha na maswali kuwa imekuwaje? .

Na hata ivyo team ya kuchukua ubingwa inatakiwa kushinda bila kujali inashindaje with reference to 2012's season, mnabaki mnapiga kabobo wakati sie tushachukua point zetu 3.

NB: Tukilishughulikia hili swala la kocha tutafika mbali sana.
 
Timu haichezi vizuri mkuu pamoja na ushindi.
 
Kwa mwendo huu, bado mechi kadhaa Ronaldo atawazingua kijiwe cha ufundi.
Jamaa huwa ana uchungu sana akiona team yake inafeli, kichwani mwake amejaza winning mentality.

Ile mechi na Youngboys alishindwa kabisa kutulia kwenye kiti akaenda kutoa oder kwa wachezaji kama kocha,wakati huo kichaa Ole katulia hajui afanye nini.
 
This is how it feels to be 𝗨𝗡𝗜𝗧𝗘𝗗

ila Kicha kikubwa (Maguire) kazingua sana

manutd |
#GGMU
IMG_20210919_180108_736.jpg
 
Back
Top Bottom