Wakuu hawa chelsea tuwaangalie kwa jicho la tatu, wako solid sana eneo la kiungo na beki. Wanakaba na wanapanda balaa.
Man U, tunakosa uwepo wa kocha wa viwango pale nyumbani, wachezaji waziri ila hawana morali kabisa.
Ukiangakia kikosi cha Chelsea wakati wa Lampard na hiki cha TT hakina utofauti ila uchezaji umebadilika, hii inamaanisha kwamba kocha anaplay part kubwa sana kwenye ubora wa team ila Team yangu imekuwa ikichukulia easy sana swala la kocha.
Ukitaka kuamini jiulize inawezekanaje chelsea ileile ya Lampard iwe bora hivi?
Hata Arsenal ipo pale kwasababu ya kocha na sio wachezaji,hii tabia ya kutaka kuchukua malegend wa team wawe makocha inaumiza sana.