Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sheria zilibadilishwa ndugu, haiwezekani mkono kuzidi ukunyime goli kwani unaocheza ni mkono au mguu.
Ndio kwanza nasikia toka kwako. Offside position maanake nini? Utakuja kuona kama hiyo ikikataliwa., na kuwa goal disallaw. Afu sijui mtasema sheria zimerekebishwa tena. Muda ni hakimu mzuri sana.
 
CR7 anaoffer kitu ambacho vijana wengi pale UTD walishindwa,nipo safarini siangalii mpira nachungulia livescore. Nimeangalia nikakuta tumepigwa kimoja baadae nikapata notification kuwa tumesawazisha, wakati naangalia akili tayari ilikuwa inawaza "au ni Ronaldo nini?"

Ile nafungua nakuta ni yeye, nafurahi sana Ronaldo alifunga sijui kwenu nyie. Kwangu mimi Man U kushinda ni habari zisizofanana kabisa na Ronaldo kufunga, namaanisha hata tukifungwa Ronaldo akitupia nafurahi tu.


Baadae ya era ya kina Messi na Ronaldo soka, sidhani kama kutakuja kuwa na viumbe wengine watakao simbua dunia kwa miaka ya hivi karibuni.
mimi nina wawili humu kwa kikosi chetu ukimuacha nje Ronaldo au greenwood nakua sikuelewi kabisa hapa bado mdogo wangu Greenwood furaha yangu ikamilike.
 
FH stats.

manutd |
#GGMU
IMG_20210919_165952_221.jpg
 
VAR decision this tym sio sahihi. Clear kabisa CR7 alizidi mkono. Mdogo mdogo mnaanza kubebwa.
1-1
VAR kwa EPL ni usanii mtupu, Southampton jana walinyimwa penati dhahiri kabisa kule Etihad dhidi ya Man City.

Usishangae Man Utd kubebwa ni kawaida sana, ombea tu nawe Liverpool yako ibebwe penye ulazima.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu ni app gan nzuri ya kuangalia game live online ,,,??? Au mwenye link ya hii game atuwekee
 
Back
Top Bottom