Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Tulia mzee kibakuli mbona unademka sanaTunachukua epl na yuefa bila kufugwa![]()
Ile game imemuweka uchi kabisa sosha kwa kumuonyesha ni kilaza
Ila huyo huyo sosha alimpiga manchester city 1-0 nyumbani kwake tukiwa pungufu mpira una maajabu yake goli alifunga matic na mashabiki tuna unafiki
Hakuna watu wanaondeshwa na mihemuko km mashabiki wa soka,, ukitaka kuamini Hilo pitia comments zilizotumwa kabla ya mechi kuanza....Ila huyo huyo sosha alimpiga manchester city 1-0 nyumbani kwake tukiwa pungufu mpira una maajabu yake goli alifunga matic na mashabiki tuna unafiki
Chelsea alikula 5 chini ya kocha TT huyu huyu nyumbani kwake baada ya kadi nyekundu yule alikuwa big sam alietoa kipigo narudia tena mpira una maajabu
Wazungu wanamsemo siku mbaya ofisini.
Simaanishi kocha mzur au kumtetea sosha ila kuna muda mbinu huwa zinagonga mwamba
Mapungufu ya timu yangu ni kiungo tu cha ukabaji hilo lipo wazi toka 2013 kuna mtu humu alinibishia sana kuhusu hilo timu nzur ikicheza angalia kiungo tu utajua timu yetu inaonesha kabisa kiungo cha ukabaji bado sana tena sana.
Kabisa yaani bora kukaa kimya tuHakuna watu wanaondeshwa na mihemuko km mashabiki wa soka,, ukitaka kuamini Hilo pitia comments zilizotumwa kabla ya mechi kuanza....
Jazeni kwanza ile emptyhad.City ndio timu kumbwa kwenye jiji la Manchester kwa sasa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Soon mnaenda kufuata nyao za arsenal ....Jazeni kwanza ile emptyhad.
Timu lenu Galina kocha ,...Jazeni kwanza ile emptyhad.










Kama kuna mtu hakushangaa ile mechi atakua na shida ilikua ni aibu kwa club kama manchester united.


bado Spurs tu kushinda kesho, wote mtapotea humu, kenge nyie.Muulize Pain killer hili swali leo nina uhakika atakujibu.Tough opponents wolves na Southampton???



Kariri hivyohvyo Tu mkuuMuulize Pain killer hili swali leo nina uhakika atakujibu.![]()
Halafu nyie last season si mlimshindwa Nuno wa Wolves! Msimu huu ni Nuno wa Spurs!!!
Nawaambia mtapotea humu, kenge nyie.![]()

Huyo Nuno angalia alikutana na kikosi gani na kocha gani mkuu ..kwa sasa kila timu inaogopa kukutana na Chelsea mkuu..Muulize Pain killer hili swali leo nina uhakika atakujibu.
Halafu nyie last season si mlimshindwa Nuno wa Wolves! Msimu huu ni Nuno wa Spurs!!!
Nawaambia mtapotea humu, kenge nyie.![]()
Sawa, uzuri wa huu mchezo upo wazi. Yajayo yanafurahisha.Kariri hivyohvyo Tu mkuu![]()
Hahahaha kwani nini kimetokea huko man Shityee ..wamepigwaaa??? Hayo matakataka usifananishe na mabingwa wa ulaya na dunia kwa ujumla mkuu ..sisi hatuchezi mpira wa mezani mkuu, sisi tunacheza mpira unaonekana uwanjani mpaka unatamani na wewe uingie ucheze ..hapo spurs hadi sasa tunaongoza 2 bila na bado ijaanzwa ..kesho mapema tunamchakaza mtu bila kumuangalia usoni yani onto kwa ninyi Manure na huyo man Shityee na takataka zote.Pain killer bora usionekane humu hadi pale mtakapokuwa na uwezo wa kushinda tena Emptyhad!!!
Dk 90 hakuna shot on target halafu baadae ndiyo utaona anaongoza wakina OllaChuga Oc kuongea utumbo humu.
bado Spurs tu kushinda kesho, wote mtapotea humu, kenge nyie.