Mimi nakwambia tu "UTAPOTEA HUMU" najua kesho the odds are against Spurs ila HAMTOKI.Huyo Nuno angalia alikutana na kikosi gani na kocha gani mkuu ..kwa sasa kila timu inaogopa kukutana na Chelsea mkuu..
Sisi kwa sasa tunacheza KUKAMILISHA ratiba tu ..maana ubingwa tayari tushabeba kitambo tu na kila mtu adi FIFA wanajua hilo.
CFC

Mavi ni mavi tuuu, huwezi fananisha United na "Man Shit" ni kuvunjiana heshima.Timu lenu Galina kocha ,...
Unapata wapi ujasiri wa kubishaana champion of England ,yaan katembeza kichapo kwa team zote za England ....
Final in CL .....!!!
Nyie united hakuna mlilobakisha zaidi ya historia
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ripoti zinasema Nottingham Forest. Naona katupia huko. Poland nao wanamnyemelea.Matty Cash Aston Villa wamemtoa wapi ?
Mimi nimependa workrate yake.Ripoti zinasema Nottingham Forest. Naona katupia huko. Poland nao wanamnyemelea.
Anakiwasha tumpe Bissaka challenge?
Mkuu kesho siyo mbali nakuhakikishia spurs anakufa nne. Hadi sasa tunaongoza 2 bila..Mimi nakwambia tu "UTAPOTEA HUMU" najua kesho the odds are against Spurs ila HAMTOKI.![]()
Pain sucker in your prime 😂Jana tumedraw ,ila nakwambia kuwa ,nyie hata hio point 1 kwa westham mtaitafuta kwa mbinde ...
Come on westham
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Assist ya Danny IngsLeon Bailey what a goal.
Matty Cash what an assist.
Ok nilikuwa nimekariri maana jamaa alikuwa anahamisha sana mipira kwa namna hiyo.Assist ya Danny Ings
Westham come on ,....Pain sucker in your prime![]()


