Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

MY STARTING XI vs WESTHAM JUMAPILI

==========

De Gea

Dalot Varane Maguire Shaw

Matic Pogba

Greenwood Fernandes Sancho

Ronaldo

===========


Kocha😛E Teacher a.k.a Ole Gunnar Solskjaer.

Matic & Pogba no no no hapana wako slow sana.
 
Kocha wako mwenyewe anajua itachukua miaka mingi kufikia hicho ulichoandika

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hapo Man u isibebe kombe lolote kwa miaka takribani 50 alafu City iwe inabeba makombe kila msimu plus UCLs ndani ya hiyo miaka 50 lkn pia Man u ndani ya hyo miaka 50 ishuke daraja japo mara tatu, umeona sasa ugumu wake? Kwamba hizo ni habari za kufikirika haziwezi kutokea na ikitokea hivyo juwa kwamba football is dead.
 
Swafi sana
PSX_20210919_133544.jpg
 
Back
Top Bottom