Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mpira ungekuwa hivyo, basi kusingekuwa na haja ya kuangalia mechi.
 
Ukiangalia performance ya united ....


Ukaja kuangalia Moto wa villarealna Atalanta Jana ...

My people ,Kama kocha ataendelea kuwa ole ,Sina budi kusema mmekwisha tayari ...


Safari ya Europa ileeeeee naiona ........


Ronaldo to Europa league loading.....
 
Au hata 44 1 ronaldo anabaki kama main man
Ila ole is a b*tch *ss of a coach
The f*ck is he thinking
A W B is a stupid thing to existence we need another person pale akae tu hata dalot unakua beki wa pembeni hujui kupiga cross kwenye offensive team ni kama upuuzi
Afu unamtoa bruno ur best player na ronaldo ambaye ni new best player unaingiza lingard like wtf???


Mm sijui kwann mpaka sasa hawajatangaza tu wamemtimua
Such a clueless coach in the entire history
 
Nani angecheza fullback ya kulia ?
Ingekuwa hivi 4-4-1


De gea

Linderlof Varane Maguire Shaw


Greenwood Fernandes Fred Pogba

Ronaldo


Au 3-5-1


De gea

Linderlof Maguire Shaw


Greenwood Bruno Fred Matic Pogba


Ronaldo

Sijapanga vzr ila nimeeleweka.
 
Alitakiwa kufanya sub ngapi baada ya ile red card ili hiyo squad uliyopanga ipatikane ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…