Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ikiwa mchezaji atafunga magoli 50 kwa kila msimu kwa miaka 15 mfululizo atafikisha magoli 750, takwimu hizo hazitomfanya mchezaji huyo alingane na CR7 kwa ufungaji wa magoli ambaye mpaka muda huu ameshafunga magoli 787.
View attachment 1936299
pichani: ronaldo + rooney + matic​
Huyu wa Rooney keshakuwa kipofu kabla hata hajaanza kucheza mpira wenyewe.
 
Nik spokeman....admin wa social Media za MUFC.neno moja kwa adminView attachment 1936306View attachment 1936307
IMG_20210913_004910.jpg
 
Ni heri kuwa kundi moja na Young Boys walioishia nusu fainali ya UCL na hawana tofauti na nyie mliofika fainali.

Kundi limejaa vitimu vya ajabu-ajabu, kimoja hapo eti kimeanzishwa 2009. Kundi limejaa mabingwa wa kufeli, mnafika fainali shughuli imeisha. PSG, Man. City na Club Brugge wote ni bottlers.View attachment 1936225
Umepaniki brother


Man utd ilikuwa zamani ndugu ,kwa sasa United hamuwezi kukaa meza moja na city ,nyie ni vilaza tu ..,.....

Soon manenda kucheza Europa tena

Hakuna namna nyingine
 
MY STARTING XI vs YOUNG BOYS JUMANNE..

========

De Gea

AWB Varane Lindelof Telles

Fred van de BEEK

Sancho Fernandes Lingard

Ronaldo

=======

Young boys ni wakata majani tu,sioni ni kwanini tusishinde kwao kwa kutumia hicho kikosi..Tuna tough game na Westham,tuwe tunafanya rotation zenye akili ili kila mechi tuwe na uwezo wa kuchagua kikosi kinachoweza kutupa matokeo.
Mzaa ktk mechi km hizi umekuwa ukitu-cost. Weka full mkoko, mkipata matokeo mapema, mnapumzisha key players
 
Back
Top Bottom